Swali lililoulizwa ni..
1+4=5
2+5=12
3+6=21
8+11=?
Solution
1+(4x1)=5(normal)
2+(5x2)=12
3+(6x3)=21
4+(7x4)=32
5+(8x5)=45
6+(9x6)=60
7+(10x7)=77
8+(11x8)=96
Kwahiyo jibu sahihi kulingana na mtazamo wangu kama genius ni 96
Hizo zenye blue hakutaka majibu yake ila muuliza swali angehitaji majibu basi trend ingekuwa hivyo kama nilivyoonyesha kwenye blue.
ALTERNATIVE
1+4=5
2+5+5=12
3+6+12=21
4+7+21=32
5+8+32=60
6+9+45=60
7+10+60=77
8+11+77=96
Hapo kilichofanyika ni kwamba jibu la juu linatumika kuadd katika swali la chini,mafano swali la kwanza 1+4=5 ,sasa hiyo 5 unakuja kuiadd kwenye swali la chini yake ambalo ni 2+5=12 manake ni kwamba ongeza na hiyo 5 jibu la juu inakuwa 2+5+5=12
Hiyo 12 iadd na swali linalofuata ambalo ni 3+6=21 inakuwa 3+6+12=21.Na ukiendelea hata kwa numbers ambazo aliziruka utafikia 8+11+77=96.
Wakuu hili ni jibu sahihi kabisa na hayo ni maelezo yake ila tukubali kuwa hili lina njia nyingi ila jibu ni moja tu ambalo ni 96.Nimetumia njia ya kuzidisha na kujumlisha ila tumeangukiwa hapo hapo.Msipoelewa na hapo mtanyifanya nitumie na kutoa na kugawanya pia ila nadhani nimeeleweka kwa hizo mbili kwanza.