Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

Joined
Dec 7, 2025
Posts
72
Reaction score
239
Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.

Anasema asingeenda India angepooza milele.

Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.

Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.

Soma ufafanuzi wa Muhimbili:Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI
 
Hili naona imeelekezewa kwa Mwigulu kwamba badala aongeze mashine za kisasa za MRI tuache kutumia machine used yeye anaenda kupambana na kufukuza wauguzi jambo ambalo lingefanywa na Bodi ya Uuguzi/Chama cha Wauguzi (TANNA) wenyewe, kuna kitu nimechukua na watamuita wakamzibe mdomo
 
Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
Nchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.
Cc MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa
 
Ukisema ukweli jiandae yeye alitakiwa kupamba na kupamba tena sio kupaka matope, anafukuza wateja nani atakubari akavalishwe headphones dakika 45 amelala kwenye mashine na vipimo vinatoka tofauti? Ila hapo kwenye kuvaa headphones nimecheka sana
😄😄😄 Serikali yenyewe inavyopenda uchawa hii na kusifiwa sifiwa halafu yeye ana waponda , Ngoja kwanza tuone hili movie
 
Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.

Anasema asingeenda India angepooza milele.

Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.

Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.

View attachment 3556025
Asante mamba kwa kutuambia ukweli kuhusu uozo wa Muhimbili na jinsi wanavyowaua kimyakimya watanzania wasiokuwa na hatia.
 
Ila inaumiza sana.. Sisi 2024 kama sio kujiongeza tungempoteza ndugu yetu.. Inauma sana.. Kapasuka bandama wao wanasema kateguka nyonga
😄😄 Hao mabwege sindio waliwahi kupata Kesi ya kumfanyia upasuaji wa kichwa mgonjwa wakati alipaswa kufanyiwa upasuaji wa mguu,

Halafu mgonjwa aliyepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa wakamfanyia upasuaji wa mguu 😄

Nakumbuka ilikuwa enzi ya kikwete
 
Muhimbili hawato mmaind kweli !?
Wa-mind nini? Kasema uongo? Tanzania tumekuwa waoga mpaka kiongozi wa serikali akikukanyaga unaogopa kusema kwa uogopa kuwa ata-mind! By the way na yeye ni wale wale wenye mawazo finyu tu. Anauliza waziri na rais kama wanajua? Wanang'ang'ania uongozi kwa kuua bila kujua matatizo ya nchi? Huu ujinga wa sisi watanzania wa kudhani huduma na vifaa vya hospital ni vibaya eti kwa sababu rais hajui utaisha lini? Mbona wanajua kuna mechi za kununua magoli? Mbona wanajua kuna mishangingi iliyozeeka inaitwa mama Kanumba inahitaji gari la kutembelea? Jinga kabisa haya ma-viongozi.
 
Nchini Tanganyika tunafanyiwa mambo ya kipumbavu sana. Watu wengi wanakufa kwa sababu ya matibabu mabovu kwa kutumia mashine zilizokufa na kutupwa huko Ulaya halafu zikaokotwa na kuletwa Tanganyika kwa ajili ya kuwaua raia wasiokuwa na hatia. Inauma na inahudhunisha sana. Hivi ni lini serikali hii ya wakoloni weusi (CCM) itaanza kujali maisha ya raia.
Cc MamaSamia2025 ChoiceVariable Tlaatlaah Ritz Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa
tanganyika ndio nini na ni kakitu gani hako kwanza gentleman?
 
Wa-mind nini? Kasema uongo? Tanzania tumekuwa waoga mpaka kiongozi wa serikali akikukanyaga unaogopa kusema kwa uogopa kuwa ata-mind! By the way na yeye ni wale wale wenye mawazo finyu tu. Anauliza waziri na rais kama wanajua? Wanang'ang'ania uongozi kwa kuua bila kujua matatizo ya nchi? Huu ujinga wa sisi watanzania wa kudhani huduma na vifaa vya hospital ni vibaya eti kwa sababu rais hajui utaisha lini? Mbona wanajua kuna mechi za kununua magoli? Mbona wanajua kuna mishangingi iliyozeeka inaitwa mama Kanumba inahitaji gari la kutembelea? Jinga kabisa.
😄😄😄 Mbona wanajua kuwa bitchuka anaumwa na wamempelekea Hela malizia na hiyo ,

Mimi umenielewa vibaya tu mkuu nilichokuwa Nina maanisha ni kwamba kutokana na kwamba serikali yetu inapenda sifa sifa za uchawa ni wazi hawato furahishwa na maneno ya dudubaya cause Huwa hawapendi kukosolewa
 
Back
Top Bottom