Kwa mabazazi tuu

Huo ujinga sirudii tena😂🙌🏿 nilijifunza..! Niligharamia Bukoba Dar njia nzima halafu tunashuka Ubungo natambulishwa kama anko🙌🏿😎🤣
 
Huo ujinga sirudii tena😂🙌🏿 nilijifunza..! Niligharamia Bukoba Dar njia nzima halafu tunashuka Ubungo natambulishwa kama anko🙌🏿😎🤣
😹😹
sisi tunajua ndugu zetu ninyi mmeumbwa na mioyo ya dhahabu, mnatenda kwa upendo tu, me nikifika ninakoenda nakupa tu ahsante, kama bado unaendelea na safari nakuambia safari njema, huyoo napepeaa..!
 
Mungu anawaona🥱🙆🏿‍♂😭😭
 
Kwani mabazazi ni wanyama gani na wanapatikana mbuga gani tukataliiimoo?
 
Kwani mabazazi ni wanyama gani na wanapatikana mbuga gani tukataliiimoo?
Mabazazi siyo wanyama, bali ni neno la Kiswahili linalomaanisha watu waongaji, matapeli, walaghai, au wadanganyifu. Neno "bazazi" (ambalo wingi wake ni mabazazi) hutumika kumwelezea mtu asiye mwaminifu katika maneno au biashara zake, anayetumia hila kujipatia faida. [1] (Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru), [2] (
View: https://x.com/millardayo/status/763448690128412672), [3] (Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru), [4] (https://www.jamiiforums.com/threads/bazazi.234443/)Hivyo basi, hakuna mbuga ya wanyama utakayokwenda na kukuta mnyama anayeitwa bazazi.😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…