Ccm haina rasimali watu imezungukwa na mafisadi hawana dhamira safi ya kuitoa nchi katika mkwamo huu tunahitaji fikra mpya huru mbali na hawa wanamtandao wa ufisadi
Lowasaa hapaswi kupewa nchi yo yote hapa duniani. Sio kiongozi kabisa, hana sifa anatumia hela kuhonga watanzania ili ukweli ni kuwa sio kiongoziKwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?
Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.
Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?
Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.
Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?
3. Bora tuwe na raisi fisadi ambaye ametuibia na amewekeza nchini mwake kuliko kuwa na mafisadi waliotuibia na wamewekeza nnje!Mambo ni mengi lakini hebu tuangalie haya kwa uchache wake:
1. Alituhumiwa na Nyerere kuwa utajiri wake una utata, haiji kichwani eti Nyerere hakuwa informed sawa sawa
2. Ndiye alikuwa Shwaiba wa JK, JK alichotufanyia watz, hata watoto wanajua HAIKUBALIKI
3. Alipatwa kashfa ya ufisadi na wizi wa mali za umma kwa mikataba mibovu, ukiiba uko waziri mkuu utaacha ukiwa RAIS?
4. Afya yake as we write sio nzuri
5. Ni Mbunge ambaye kwa kipindi cha miaka 8 hajawahi kuchangia bungeni hoja yoyote, maana yake ni nikilaza sana, maana huwezi sema hakuna matatizo kwa namna yoyote ile Tanzania ambayo yanamgusa au hata jimboni kwake tu. Bubu ataongoza nchi??
6. Wakati anajihuzuru alisema anafanya hivyo kwa maslahi ya CCM na Serikali, hakika ndo maana amekaaa kimya kusema ukweli wote maana hakufanya kwa maslahi ya wananchi, leo wananchi wampigie kura tapeli wa kisiasa huyu??? wananchi wa wapi TZ hii ambayo maisha magumu kila siku? HAIWEZEKANI
Ushauri ili kutimiza ndoto yake, aanzishe benki/chuo ili awe rais wa benki/chuo
Naomba kuwasilisha
mambo ni mengi lakini hebu tuangalie haya kwa uchache wake:
1. Alituhumiwa na nyerere kuwa utajiri wake una utata, haiji kichwani eti nyerere hakuwa informed sawa sawa
2. Ndiye alikuwa shwaiba wa jk, jk alichotufanyia watz, hata watoto wanajua haikubaliki
3. Alipatwa kashfa ya ufisadi na wizi wa mali za umma kwa mikataba mibovu, ukiiba uko waziri mkuu utaacha ukiwa rais?
4. Afya yake as we write sio nzuri
5. Ni mbunge ambaye kwa kipindi cha miaka 8 hajawahi kuchangia bungeni hoja yoyote, maana yake ni nikilaza sana, maana huwezi sema hakuna matatizo kwa namna yoyote ile tanzania ambayo yanamgusa au hata jimboni kwake tu. Bubu ataongoza nchi??
6. Wakati anajihuzuru alisema anafanya hivyo kwa maslahi ya ccm na serikali, hakika ndo maana amekaaa kimya kusema ukweli wote maana hakufanya kwa maslahi ya wananchi, leo wananchi wampigie kura tapeli wa kisiasa huyu??? Wananchi wa wapi tz hii ambayo maisha magumu kila siku? Haiwezekani
ushauri ili kutimiza ndoto yake, aanzishe benki/chuo ili awe rais wa benki/chuo
naomba kuwasilisha
Wewe ni kichaa Nyerere Mungu?aliwapa mkapa kaitenda nini nchi?acha kuwa kondom Lowassa atoshaMambo ni mengi lakini hebu tuangalie haya kwa uchache wake:
1. Alituhumiwa na Nyerere kuwa utajiri wake una utata, haiji kichwani eti Nyerere hakuwa informed sawa sawa
2. Ndiye alikuwa Shwaiba wa JK, JK alichotufanyia watz, hata watoto wanajua HAIKUBALIKI
3. Alipatwa kashfa ya ufisadi na wizi wa mali za umma kwa mikataba mibovu, ukiiba uko waziri mkuu utaacha ukiwa RAIS?
4. Afya yake as we write sio nzuri
5. Ni Mbunge ambaye kwa kipindi cha miaka 8 hajawahi kuchangia bungeni hoja yoyote, maana yake ni nikilaza sana, maana huwezi sema hakuna matatizo kwa namna yoyote ile Tanzania ambayo yanamgusa au hata jimboni kwake tu. Bubu ataongoza nchi??
6. Wakati anajihuzuru alisema anafanya hivyo kwa maslahi ya CCM na Serikali, hakika ndo maana amekaaa kimya kusema ukweli wote maana hakufanya kwa maslahi ya wananchi, leo wananchi wampigie kura tapeli wa kisiasa huyu??? wananchi wa wapi TZ hii ambayo maisha magumu kila siku? HAIWEZEKANI
Ushauri ili kutimiza ndoto yake, aanzishe benki/chuo ili awe rais wa benki/chuo
Naomba kuwasilisha
3. Bora tuwe na raisi fisadi ambaye ametuibia na amewekeza nchini mwake kuliko kuwa na mafisadi waliotuibia na wamewekeza nnje!
4. Hata huyu tuliye naye wakati anagombea tuliambiwa ni mgonjwa!