Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Mimi nimesha andaa kundi langu naomba mratibu wa makundi ya kumtembelea na kumshawishi EL anipe utaratibu hata Dom tutaenda maana najua kuna utaratibu wa kutambulisha wageni ndani ya ukumbi wa bunge.
 
raisi wa wachawi anafaa.
ofcoz utawala una mambo mengi.
Angalia raisi anapoapishwa pale uwanja wa taifa.
Unajua maana ya kile kigoda wewe.
Unajua nchi hii ina maagano ya aina gani?
Rejea hotuba za mwl.nyerere hasa yaliyofanyika bagamoyo.
Na si hapa tz tu.
Ni kwa mataifa yote ya kiafrika.
Mbali na hayo uongozi hutauweza ktk
nchi hizi labda uende huko kwa akina obama.
 
ofcoz utawala una mambo mengi.
Angalia raisi anapoapishwa pale uwanja wa taifa.
Unajua maana ya kile kigoda wewe.
Unajua nchi hii ina maagano ya aina gani?
Rejea hotuba za mwl.nyerere hasa yaliyofanyika bagamoyo.
Na si hapa tz tu.
Ni kwa mataifa yote ya kiafrika.
Mbali na hayo uongozi hutauweza ktk
nchi hizi labda uende huko kwa akina obama.

Anafanya nini huku?
 
Je? kuhusu Big National zinasemaje kuhusu yeye................????!!!!!!
 
Udini utaliangamiza taifa lowasa jitahidi kuwapa somo waenezao udini
 
nimeshtushwa na wazee wa sebule kuu.
Ni mchana huu baada ya kuhudhuria lunch ''majris''.
Namnukuu mmoja wao.
''safari hii ni zamu ya wakristu.akafinyanga tonge....
Na katika wakristu lowasa tunamkubali.......akameza.......
Maana ameshatuweka sawa.''kimya.......
Nilisikia kizunguzungu na biriani yoote ikayeyuka.
Nikajikausha, kama sijasikia..........
Huyoo nikaosha mikono nikasepa.

Lowasa atakuwa rais wa subuleni kwenu sio huku .
 
Hiv watu wanadiliki kusema Lowassa anafahaa! kwa lip?hajawahi kukemea ufisadi, nae ni fisadi,bado kuna wadanganyika(wasaka tonge) wanatoa mapovuz kumpigia debe!! Ny'ana bingh'we
 
weweee hizi nci zetu hazina demokrasia
atakuwa raisi tu
ingawa inauma

Kupitia chama gani sasa.....
Manaake membe nae yupo,yaani huko maofisini,kwenye mawizara kuna kampen za chinichini membe na lowasa,nimekutana na hizi team nimeshangaa kumbe watu wapo serious!!?
 
lowasa atakuwa rais wa subuleni kwenu sio huku .
tamasenga sio sebuleni lakini wanamkubali
utwango pia
pamoja na
mbamba bay
mpaka mpingi
likuyu
mpaka
kidia
oumurushaka
hata
tinde
bumbuli
mpaka
dabaga
mkuu hii nchi kama huijui utasumbuka sana na kupoteza muda
tafuta ugali
ukae kimya.
 
tamasenga sio sebuleni lakini wanamkubali
utwango pia
pamoja na
mbamba bay
mpaka mpingi
likuyu
mpaka
kidia
oumurushaka
hata
tinde
bumbuli
mpaka
dabaga
mkuu hii nchi kama huijui utasumbuka sana na kupoteza muda
tafuta ugali
ukae kimya.

Wewe acha kuwaandikia watu wewe sema mimi na mke wangu na watoto tunamkubali hizi tafiti za kwenye vilabu vya mataputapu siku hizi zinawatoa sana ufahamu.
 
Back
Top Bottom