singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Mara nyingi umekuwa ni mtu anayetajwa kuhusika na ubadhirifu pia ufisadi mbalimbali unaofanyika ndani ya nchi, ukiwamo richmond ambapo mara zote umekuwa akiwaadaa wananchi kwamba alijiuzulu ili kulinda heshima ya serikali na chama chake jambo ambalo sio kweli, taarifa ya tume ambayo iliundwa na bunge kufuatilia sakata hilo iliweka wazi namna waziri mkuu alivyohusika moja kwa moja katika ubadhirifu huo vikiwamo viambatanisho vya vinote vyake, mawasiliano, na namna jinsi zoezi zima la ugavi ulivyoendeshwa. Lakini pia amehusika na ufisadi katika ujenzi wa jengo la ukumbi wa mikutano ya kimataifa AICC.
Lakini pia watanzania tunakufahamu kama mwenye kutumia vibaya madaraka yake, akiwa waziri mkuu alikuwa ni mtu mkorofi na mwenye maamuzi ya kukurupuka, alikuwa ni mtu mwenye kuwafukuza watu kazi kwa uonevu papo kwa papo bila hata kuwapa haki ya kuwasikiliza (right to be heared au natural justice)hasa wanapokataa kulinda maslahi yako , uliwah kumdhalilisha na kutaka kumfukuza kazi dc aliyekuwa ameteuliwa siku tatu tu na sasa ni mkuu wa mkoa, ndg mongela.
Ametumia madaraka yake vibaya kwa kujilimbikizia mali mbalimbali ikiwamo umiliki wa ardhi mkubwa hasa jijini dar es salaam kwa mfano eneo la peninsula pale masaki ambapo amejipatia viwanja kadhaa na ushahidi amejenga nyumba ya ubalozi wa south africa, AKiwa waziri mkuu alishiriki kuamuru uvunjaji wa ghorofa masaki kwa sababu linaziba nyumba yake kukosa upepo kutoka baharini, huku akidanganya umma kuwa ghorofa lile limejengwa kinyume na utaratibu, amekuwa mtu mbadhirifu wa mali za umma sana kwa kutumia madaraka yake kwa mfano amejimilikisha majengo ya ppf na kumpa mtoto wake.
Ni mtu msanii sana na si mkweli hasa kwa utaratibu wake wa kukwakupua mipango ya serikali na kusema amefanya yeye, akiwaaminisha watu kwamba amekuwa anaisimamia ama kuanzisha yeye jambo ambalo limekuwa likifanywa na serikali kama timu, mara nyingi anazungumzia shule za kata ambazo zimeanza tokea enzi za mkapa wakati wa waziri ndg joseph mungai, pia amekwapua mradi wa maji ziwa victoria akisema ameanzisha yeye jambo ambalo sio kweli kabisa, mradi ule ulisainiwa na ndg benjamini mkapa mwaka 2002 wakati huo waziri wa maji akiwa ndg pius ng'wandu.
lowassa akijinasibu kwa hoja yake ambayo sio nzuri kwake lakini yeye amekuwa akiwadanganya wananchi kwamba ana maamuzi magumu, maamuzi yake hayakuwa magumu bali ni ya kukurupuka na yasiyokuwa makini yaliyolenga kujikampenia uraisi ambayo yamelitia taifa hasara sana, kwa mfano kuvunja mikataba kinyume cha sheria ambayo baadae ameitia hasara serikali kwa kulipa fidia mfano mradi wa maji wa jiji (city water) amevunja majengo masaki ambayo hayo yote serikali ilibidi kutoa kodi za wananchi ili kulipa fidia amelitia hasara taifa, hayo ni kwa ufupi tu lakini yapo mengi sana.