Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Yeye mwenye fisadi sijui kama mwinzi ataweza kumuhukumu mwinzi mwenzake Lowasa hana sifa za kuwa raisi wa tanzania
 
Yeye mwenye fisadi sijui kama mwinzi ataweza kumuhukumu mwinzi mwenzake Lowasa hana sifa za kuwa raisi wa tanzania

Mkuu wanasema tusimhukumu kwa kuwa tuhuma hazijathibitishwa!

Mimi nataka hiyo ahadi kutoka kwa mtu mwenye maamuzi magumu!
 
Wewe unaongea pumba sisi tunatambua umuhimu wa edward lowassa katika nchi hii
 
Lowasa ndie tunae mtaka hatutaki malaika sisi,tunataka mchapa kazi anae weza kufanya maamuzi mazito na magumu sana kwa taifa hili
 
Tafuta msitu mapema na wewe ukajigomeke maana dalili zote ushaziona na mwaka huu mtaenda msituni wengi tu mtuachie nchi yetu,tushaumizwa na j.k inatosha sasa tunamtaka EL alete ukomboz wa kweli,au unataka babuuu mzee wa wake za watuuuuuu

Lowasa hawezi kuwa rais wa Tz apeleke kule mamvi yake, nyie kama hela zake kuleni ila kura mpeni babu wa ukweli Dr Slaa
 
Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi

Acheni njaa watz hela za lowasa kuleni lakini nchi kabidhini UKAWA hivi kweli lowasa na hayo mamvi yake anayeweza kutufikisha nchi ahadi huyu, chai yenyewe anakunywa kwa mrija mgonjwa yule mikono yote inatetemeka.
 
Kwa lipi la maana alilolifanya Lowassa hadi apewe nchi?

Kuna sababu nyingi za kusema Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii licha ya kuwa mgonjwa wa macho na mgongo pia ni mmoja wa watu 11 waliotajwa kuwa ni mafisadi.

Amefanya nini la maana hadi tumpe nchi? Unamkumbuka kwa lipi zaidi ya kujiuzulu?

Pesa zake sio tiketi kuwepo ulazima wa kuingia ikulu. Kama anatafuta umaarufu,umaarufu sio kwa mazuri tu hata ufisadi na kujiuzulu napo aljulikana ndani na nje ya nchi.

Sababu zipi za kunishawishi kumpigia kura Lowassa awe Rais wa awamu ya tano?


~~Kwa maoni yako:Nani anafaa kuwa raisi wa nchi hii?
 
Bora tuwe na Raisi Fisadi aliyetuibia na hela zake tunaziona hapa kuliko tuwe na mafisadi wanaoutaka Uraisi na hela zao ziko Swiss!

Sio kosa lako wewe njaa imepanda hadi kwenye ubongo haya mabilioni anayotoa makanisani na misikitini naona yanakutoa udenda na nakuhakikishia hutalamba hata mia utaishia kuzisikia kwenye radio sie wajanja tunazila/tuna-kula halafu kura tunampa babu wa ukweli Dr Slaa watz hatuwezi kuwa na rais mwenye mamvi uso mzma!
 
Sio kosa lako wewe njaa imepanda hadi kwenye ubongo haya mabilioni anayotoa makanisani na misikitini naona yanakutoa udenda na nakuhakikishia hutalamba hata mia utaishia kuzisikia kwenye radio sie wajanja tunazila/tuna-kula halafu kura tunampa babu wa ukweli Dr Slaa watz hatuwezi kuwa na rais mwenye mamvi uso mzma!
Niambie ni chama gani cha upinzani kilichowahi kusimama hadhari na kumsema Lowassa vibaya kama sio CCM! kweli nimeshaamini maneno ya baba wa taifa - Upinzani utatoka CCM!
 
WANAOMCHAFUA LOWASSA NI WALEWALE, HAWAONGEZEKI NA AJENDA ZAO NI ZILEZILE


MUHIMU SANA


Lowassa ndiyo habari ya mjini
Lowassa ndiye anayezungumzwa
Lowassa ndiyo ajenda ya Taifa
Lowassa amewakip bize wahariri wa vyombo vya habari kwani ndiye anayefanya magazeti yauzike
Kila siku ni Lowassa,,Lowassa, Lowassa

Hivi huyu ni nani hasa

Tumekuwa tukiwakumbusha Watanzania kuhusu huyu mtu anayeitwa Lowassa,mtu muungwana,mtu mwenye hofu ya Mungu,mtiifu kwa chama chake cha Mapinduzi,mkarimu, mtanashati,mtu aliyejaliwa kipaji cha uongozi,mtu aliyejaliwa hekima na busara,haropoki na siku zote amejikita katika kutatua matatizo na changamoto zinazowakabili watu wake,naam ukisikia Lowassa anazungumza basi ujue kuna agenda ya maendeleo mezani


Hata hotuba zake ni authoritative,hotuba zenye mamlaka,akifika mikoani hata hotuba zake huwa ni majawabu na tiba kwa matatizo ya Wananchi

Kamwe hapendi kulia lia,anaamini kulia lia mbele za Wananchi kama afanyavyo Pinda ni laana mbele za Mungu


Kwa bahati mbaya,pamoja na Mungu kumpa vipaji vyote hivyo mh Lowassa kuna Wanasiasa wachovu,waliofilisika ubongo ,ambao kila kukicha mradi wao mkubwa ni kuchafua taswira ya Lowassa katika jamii,na hakika nao wamepata mawakala wao katika shughuli hii ya kishetani

Cha kuchangaza ni kwamba,wanasiasa wanaomchafua ni walewale,mawakala wao ni walewale na ajenda zao ni zilezile

Mawakala wa hawa wanasiasa mufilisi wana changamoto kubwa,nayo ni kutopewa SEMINA ELEKEZI

Mawakala hawa hawana uelewa mpana kuhusiana na kashfa hizo

Leo utasikia,Lowassa alihusika kwenye kashfa ya richmond,baadhi watakwambia alichukua fedha ya richmonda,ukiwauliza ni sh ngapi,hawajui

Kesho wanakuja na agenda ya kimizimu kwamba Mwl Nyerere alimkataa,ukiwauliza wakupe ushahidi wanakusimulia kuhusu Uchaguzi mkuu mwaka 1995 ambapo Mwl alimbeba BEN,ukimwambia mwaka 95 Lowassa alikuwa kijana mno na kwamba Mwl Aliona BEN alikuwa mkomavu zaidi na hivyo alikuwa anatosha kukabidhiwa taasisi ya Urais,wanakimbia

Ukiwaambia Mwl alijua zamu za JL na Lowassa inakuja,wanagota

Wakati fulani watakwambia Huyu mtu ni mgonjwa,hii agenda siji wanaitoa wapi,maana Mwenyezi Mungu ndiye anayejua majaliwa ya Mwanadamu

Wanaokesha kutoa hoja hii potofu,ni walewale ambao mwaka 2005 walizunguka nchi nzima kuwaaminisha Watanzania kwamba Jk ni mgonjwa,na mawakala wao


Hata hivyo,sisi tulio wengi tunaoamini Lowassa anatosha na anafaa kuwa Mrithi wa JK rai yetu ni hii-Nyinyi mnaomchafua Lowassa kila kukicha tengenezeni ground ya kumchafua kwani ajenda zenu zimechakaa,na mmecheewa kwani train imeshafika Dodoma


Chukueni maamuzi mgumu ambao ni-SIMAMENI MUHESABIWE
 
MwanaCCM mwenzake tena Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama alimpatia mtihani wa kubeba kikombe cha chai Kwa dakika 5...

Leo mwenzenu Kwa kukurupuka kwenu akadhani JF ni vile vigenge vya Team Lowassa Kwenye zile baa za Mikocheni au Masaki au Kinondoni au Kijiyonyama akajikuta analeta hapa ushahidi wa kumhusisha na ufisadi wa mifuko ya jamii
 
nchi yetu hatumpi isije kuwa nyeupe kama nywele zake, hapa tulipofika tu tayali nchi ina ukoko kichwani.
 
Back
Top Bottom