Tena acheni utani kabisa kwenye mambo ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Hivi kweli mnaompa moyo na kumpigia kampeni ya kugombea urais, mko serious kweli au mmeamua kumlia hela zake tu hukufika kuwa hawezi kupita hata nusu ya hatua kuanzia za kwenye chama!
Hata kama ndo watu wenye sifa wameisha ndani ya CCM ndo mumchague kabisa Lowassa akahimili vishindo vizito vya UKAWA kweli!
Jamani hivi kweli Lowassa awe rais wa nchi kweli! Hapana lazima ifike wakati tuwe serious! Hii nchi ni yetu sote! Hatuwezi kuwakabidhi mafisadi waongoze nchi! Yaani kampani ya akina Chenge majoka yenye makengeza yanayosaka pesa kwa namna yoyote ile zikiwemo chafu na haramu!
Cha kufanya ni kumshauri tu Lowassa ajiangalie afya yake ajitibie maradhi yake yanayomsibu ili aje ashuhudie mchuano mkali kati ya UKAWA na CCM october akiwa na afya yenye unafuu kuliko kuendelea na harakati ambazo ni dhahiri zitaishia njiani na kumuongezea maradhi yatakayohatarisha uhai wake!
Tafakari chukua hatua teamLowassa a.k.a TeamFisadi!
Mzee Mamvi akiingia ikulu na mimi namfuata kapteni komba msituni alikotangulia!!
Tafuta msitu mapema na wewe ukajigomeke maana dalili zote ushaziona na mwaka huu mtaenda msituni wengi tu mtuachie nchi yetu,tushaumizwa na j.k inatosha sasa tunamtaka EL alete ukomboz wa kweli,au unataka babuuu mzee wa wake za watuuuuuu
Siku EL akishatangazwa rais tutamsii awatafutie kakijiji mkaishi huko ili mujione mlivyo wachache,yani haiingi akilini kila kona na kila kada ya watu wanamuhitaji EL nyi msona mshipa wa aibu wachache kazi kushinda mtandaoni na kujiona wengi eti hana sifa!!!
Tuna matumaini makubwa sana na wewe Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwani uwezo wako unajulikana na kila Mtanzania
![]()
My presdent is Lowassa
Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi
hawezi kuwa rais labda awe rais wa manzese
kama mtu anakubalika,anakubalika tu jamani,lowassa ni chaguo la wengi!
Rais wa majoka yenye makengeza!Jibu kwanza kwanini asiwe Rais then uje na hoja nzito sio fantasy unazosikia vijiweni na kwenye magazeti ya udaku.alafu ukae ukijua wanaomsapoti lowasa hawachukui hata senti tano yake.
lowasa ni rais anaesubiri kuapishwa October
lowasa ndo rais ajae taka usitake.We hela ngapi zimepigwa je kazipiga zote lowasa?Kama makanisani na misikitin dili zinaiga yeye lowasa kawazidi na roho ya kiimani kuliko hao wa nyumba za ibada au hata JK mwenywe? wivu wa kwenye chupi huo
Bora tuwe na Raisi Fisadi aliyetuibia na hela zake tunaziona hapa kuliko tuwe na mafisadi wanaoutaka Uraisi na hela zao ziko Swiss!
Rais wa majoka yenye makengeza!
Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi