chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,012
- 20,685
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha