Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,636
19,861
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
 
kwa kuwa hamza kada na mdhamini wa ccm alihukumiwa kifo na polisi kwa kosa la ugaidi, basi CCM ifutwe kama chama cha siasa
Hapa tinaongelea kiongozi mkuu was chama kuongoza shughuli za kigaidi
 
Ni aibu msajili wa vyama anakuwa na chama cha kigaidi katika rejista yake
 
Kama itagundulika kwamba kesi hii ilikuwa ya uongo na imesababisha tahaluki kubwa inchini na kuichafua nchi yetu ,Basi wahusika wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kinidhamu .

Adhabu ni kufungwa maisha
 
Ugaidi ni tuhuma mbaya na inahitaji upelelezi wamuda mrefu, ukipatikana ushahidi kesi irekebishwe na ianze upya
 
Kama itagundulika kwamba kesi hii ilikuwa ya uongo na imesababisha tahaluki kubwa inchini na kuichafua nchi yetu ,Basi wahusika wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kinidhamu .

Adhabu ni kufungwa maisha
Taharuki ya gaidi kufungwa nayo ni taharuki

USSR
 
Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
🎶Ukisikia yalaa ujue imempata... alielenga anashabaha hajafanya makosa🎶
 
Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Kuna kikao cha Msajili wa vyama vya siasa na IGP kuandaa agenda ya mkutano na vyama ya siasa. Wahi wapelekee ili iwe agenda namba moja.
 
UMEKURUPUKA!!! UPUUZI MTUPU!!!

Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
 
Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Katika kuishi kwangu sijaona wala sijasikia upumbafu kama wako

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
-1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom