Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

Nimependa jina lako
CHINEMBE
Haya ni maoni yangu, usajili was Chadema kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kioindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili was chadema ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
 
Umesoma PGO? Ametuhumiwa Mbowe as Mbowe na sio Chadema. Tuache nyege
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
hii njia yako ni ndefu, peleka mswaada bungeni futilia mbali sheria ya vyama vingi - turudi kwenye chama kimoja ili tujenge nchi - Simple.
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Halafu jifunze kuandika wa vizuri badala ya was.....
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Tofautisha Chadema na Mbowe we Ki/Chinembe
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Sikuelewi baba BOGA, anesimamishwa hapo ni nani MTUMISHI au UMMA unasimamishwa.
mfano wewe ukiwa mwenyekiti wa tawi wa ccm ukijampa hadharani ccm ndio inakuwa imejampa au wewe baba boga umejampa, dah wtz bado tuna kazi ngumu kufika pale.
 
CCM ilipaswa kufutwa toka kipindi cha miaka ya mwanzoni ya 1990 pale ambapo vyama vya upinzani viliporuhusiwa rasmi kikatiba na kisheria. Chama hiki kimeshiriki kikamilifu katika matendo mengi ya kijinai na hata kigaidi kote Tanzania Bara na Visiwani.

Vitendo vya kidhalimu na kifedhuli vya makada wake kupitia maelekezo yao kwa vyombo vya dola. Chama hiki kimeweza kuumiza watu wengi sana kwa njia za wizi na dhuluma za mali, ubakaji, kuharibu mali, kutesa, kuteka, kubambikia kesi za uongo na uzushi, uzushi na hata kuua.

Naam! Kuna mtari mdogo sana unaotenganisha matendo ya kihuni ya chama hiki na kundi lile la INTERAHAMWE. Kama ni kuhusu kiwango cha uovu wa makada wa chama hiki, basi hata SHETANI mwenyewe huwa anajifunza "new experience" kupitia kwao, kwa maana halisi naweza kuthubutu kusema hawa ndiyo haswa "role model" wa IBILISI.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Kwanza, katika sheria zetu, mtuhumiwa anahesabiwa hana hatia, mpaka mahakama imtie hatiani. INNOCENT UNTIL PROVED GUILTY.
Kwa hiyo hilo haliwezekani.
Pili, kwa tusisahau kwamba tangu nchi hii ipate uhuru miaka 60 iliyopita, ccm imekuwa madarakani miaka 43. Na kabla ya hapo, ilitawala miaka 17 kwa jina la TANU. Kwa kuwa kuna nchi kana Korea Kusini ambazo tulikuwa tunalingana nao kiuchumi wakati tunapata uhuru, na sasa sisi ni masikini wa kutupa, wakati wenzetu wamechanja mbuga.

Kwa maana hiyo, watanzania wajue kwamba kuna kibaka mmoja tu, kuna fisadi moja tu, kuna gaidi moja tu, kuna jambazi mwandamizi mmoja tu. Ni CCM.
 
Msajili ajaribu kina cha maji kwa kufuta CDM tuone kitatokea nini. Wafute vyama vyote turudi kwenye siasa za chama kimoja hata CHina wana chama kimoja mambo yote poa tu. CCM hoyeee.
 
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.

Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.

Pia, kama ambavyo mtumishi wa umma anavyosimamishwa kazi akiwa na tuhuma za jinai, pia usajili wa CHADEMA ufutwe mpaka pale mahakama itakapowasafisha
Huko ndipo akina msajili na wazee wa PGO wanapo lenga, wamekutuma kufikisha ujumbe Kiana au, ni mmoja wa waratibu wa mpango wenyewe.
 
Back
Top Bottom