yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Ulitaka wakaongelee gest??Issue aongee naye wapi uchochoroni Ni hatari
Next week...w0rM,
Mbona Mbowe hakutani na mabalozi?
Kwa hiyo unadhani security analysis haikufanyika? Usijisahaulishe! Huyu hakukurupuka kama mlevi anavyojisaidia haja ndogo.Issue aongee naye wapi uchochoroni Ni hatari
Tanzania Hakuna MatataJamani hivi kingempata kitu kibaya huko uchochoroni Tanzania SI tungekuwa matatizoni
Balozi Ni Raisi wa nchi yake anapoiwakilisha anahitaji ulinzi wa kueleweka nk
Homeboy umeandika kama mlevi,hivi sisi kweli ni taifa ambalo Marekani au taifa lolote lililoendelea likitaka kutupandikizia ugonjwa watashindwa?Tutegemee vikwazo zaidi kutika kwa mabeberu hasa baada ya mpango wao wa kutupàndikizia ebola kugonga mwamba
Thanks, asante sana, wamuguse waone, watafaywa kaa generali suleiman, yule aliyeuawa huko iraq, marekani ni moto wa kuotea mbali sanaMguseni muone
Jr
Hatutoki JF mkuu, hapa tupo mpaka uhuru uje tzView attachment 1352047
Bado haijafahamika walichoteta , lakini kuna dalili ya kishindo kikubwa kuikumba Tanzania .
Endeleeni kubaki hapa hapa Jf
Ni kweli wanaweza kuweka virusi vya cancer kwenye dawa za misaada au vifaa vya misaada wakitaka kuiangamiza Tanzania kwa njia za kimafia hawashindwi, Tanzania bado tuna salam za kukumbatiana kupeana mikono kwa sana ni rahisi kupenyeza maradhi yeyote na yakaenea kwa kasi kubwa na kuteketeza idadi kubwa ya watanzaniaHomeboy umeandika kama mlevi,hivi sisi kweli ni taifa ambalo Marekani au taifa lolote lililoendelea likitaka kutupandikizia ugonjwa watashindwa?
Ukumbuke unaishi katika nchi ambayo raia mpaka karne hii wanafundishwa umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni,wajenge vyoo,wasinye vichakani na watahiriwe na semina zinatolewa kwa msaada wa hao hao,dawa wanatusaidia hao hao hahahah
Rais wa kenya kaalikwa America kwa ajili ya kumpatia taarifa za Afrika mashariki yote ili apate kuwatoa ikulu museveni na Pia Tanzania kuundwe Tume huru ya uchaguzi yenye wataalam wasioegea upande wowote ule.Thanks, asante sana, wamuguse waone, watafaywa kaa generali suleiman, yule aliyeuawa huko iraq, marekani ni moto wa kuotea mbali sana
CCM yote hakuna mwenye uelewa ndiyo maana washauri wakuu wa CCM ni cyprian Musiba na Le mutuz ambao ni viumbe vya kijinga kupata kutoa hapo Nchini TanzaniaKuna watu wanapenda kujitoa ufahamuu hadi inakeraaaa, yani kwao akikutana na viongozi wa ccm hakuna shida ila nongwa ni kukutana na upinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app