Kwa kukutana na Maalim Seif: Kaimu Balozi wa Marekani amekiuka Mkataba wa Diplomasia?

w0rM,
Mwakahuu wameshituka mapema sana hii sio nzuri kwa wanaofokiria kuiba mtaleta vurugu yu guaranteed na utaliii mwaka kesho Zanzibar sahauni
 
Tutegemee vikwazo zaidi kutika kwa mabeberu hasa baada ya mpango wao wa kutupàndikizia ebola kugonga mwamba
Homeboy umeandika kama mlevi,hivi sisi kweli ni taifa ambalo Marekani au taifa lolote lililoendelea likitaka kutupandikizia ugonjwa watashindwa?

Ukumbuke unaishi katika nchi ambayo raia mpaka karne hii wanafundishwa umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni,wajenge vyoo,wasinye vichakani na watahiriwe na semina zinatolewa kwa msaada wa hao hao,dawa wanatusaidia hao hao hahahah
 
maramla,
Huu ujinga bakieni nao huko huko CCM, Balozi wa marekani akiongea na CCM mnaona ni sawa lakini huyo huyo Balozi akiongea na vyama vingine vya siasa mnaanza kuleta Sheria za kijinga na kishamba, acheni udikiteta wenu mwambie mtukufu aruhusu mikutano ya siasa apate kujua ni kwa kiasi gani wananchi hawaitaki CCM
 
Homeboy umeandika kama mlevi,hivi sisi kweli ni taifa ambalo Marekani au taifa lolote lililoendelea likitaka kutupandikizia ugonjwa watashindwa?
Ukumbuke unaishi katika nchi ambayo raia mpaka karne hii wanafundishwa umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni,wajenge vyoo,wasinye vichakani na watahiriwe na semina zinatolewa kwa msaada wa hao hao,dawa wanatusaidia hao hao hahahah
Ni kweli wanaweza kuweka virusi vya cancer kwenye dawa za misaada au vifaa vya misaada wakitaka kuiangamiza Tanzania kwa njia za kimafia hawashindwi, Tanzania bado tuna salam za kukumbatiana kupeana mikono kwa sana ni rahisi kupenyeza maradhi yeyote na yakaenea kwa kasi kubwa na kuteketeza idadi kubwa ya watanzania
 
Thanks, asante sana, wamuguse waone, watafaywa kaa generali suleiman, yule aliyeuawa huko iraq, marekani ni moto wa kuotea mbali sana
Rais wa kenya kaalikwa America kwa ajili ya kumpatia taarifa za Afrika mashariki yote ili apate kuwatoa ikulu museveni na Pia Tanzania kuundwe Tume huru ya uchaguzi yenye wataalam wasioegea upande wowote ule.
 
Kuna watu wanapenda kujitoa ufahamuu hadi inakeraaaa, yani kwao akikutana na viongozi wa ccm hakuna shida ila nongwa ni kukutana na upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM yote hakuna mwenye uelewa ndiyo maana washauri wakuu wa CCM ni cyprian Musiba na Le mutuz ambao ni viumbe vya kijinga kupata kutoa hapo Nchini Tanzania
 
Back
Top Bottom