Kwa kukutana na Maalim Seif: Kaimu Balozi wa Marekani amekiuka Mkataba wa Diplomasia?

Ukimsoma comments za wale jamaa wenye mrengo wa kijani ni Kama wamepata pa kupumulia baada ya jamaa yao kula ban ya kutoikanyaga ardhi ya Marekani!

Yaani wanajisahaulisha makusudi juu ya kumvalisha balozi wa China sare za chama Chao na hata yule mwingine alikutana na kina polepole na kinana kwamba wao waliokuwa sahihi sana!

Hata msemeje ukweli utabaki kuwa ukweli daima! Mbinu hii ya kumwandama balozi na vifungu vyenu vya Sheria ambavyo mlishindwa kuviapply kwa mabalozi wa China havitawatisha Marekani na badala yake mnachochea Moto uliokwishawaka uwake kwa nguvu zaidi!

Hamtasafishika kwa approach hii Bali kaeni chini mjiulize namna Bora zaidi ya kuurejesha uhusiano mliouvuruga! Ikibidi, mwacheni makonda apigane Vita yake mwenyewe ninyi wengine mnamharibia pambano lake!
 
She is once twice a lady Zanzibar loves you. We need more of the same balozi.
 
Ongeza na hii
IMG_20200209_220735.jpeg
 
Back
Top Bottom