Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji.
Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo;
1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo Alpha na Omega. Haelewi maana halisi ya nafasi yake kama mbunge na majukumu yake kama mbunge.
2. Msukuma na muwekezaji wana amini, CCM ni Serikali. Wana amini ccm ni zaidi pia ya Serikali. Wana amini ccm iko juu ya Sheria za nchi hii zaidi ya Katiba pia. Ndo mana muwekezaji anamuambia Msukuma nenda kahoji kwenye chama.
3. Msukuma na muwekezaji wana amini ili uishi kwa utulivu na amani nchi hii haupaswi kuwa nje ya ccm. Wanaona ukiwa nje ya Ccm ndo unastahili kufanyiwa mabaya ya namna yeyote ile na kunyimwa haki zako. Wana amini ukiwa ndani ya ccm unaweza fanya lolote lile na kinga yako ni kuwa mwana ccm. Ndo mana wanasikika wakiitaja Chadema kwenye mazungumzo yao kumaanisha kama mtu yupo Chadema ndo kama anastahili kutendewa ndivyo sivyo.
Ukisikiliza ile clip kama una akili timamu hautashangazwa tu na mbunge kupigana na mwananchi. Utasikitika na kuumia sana namna CCM walivyonajisi upeo wa kufikiri wa Wananchi kiasi kwamba wananchi hawaelewi tena Msingi Mkuu wa Katiba yetu wa Utawala Bora na kuitambua Nchi yetu kama Nchi ya Kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi.
Ukisikiliza ile video fupi kama una akili timamu utakubaliana na mimi kuwa kwa vyovyote vile ni lazima Nchi hii ifanyiwe factory settings na kuundwa upya ili kuhakikisha upumbavu unaondoka kuwa sehemu ya maisha ya Wananchi.
Mwisho, pamoja na haya yote, tusisahau kuwa jambo pekee linaloweza kutuondoa kwenye huu upumbavu wa ki ccm ni kutokewa na jambo baya kwa Viongozi na Uongozi wa CCM hadi kuwafanya warudi kwenye misingi ya utawala bora na kuheshimu kweli matakwa ya wananchi. Tusisahau kuliombea vilivyo na kulipush kwa nguvu zote suala la ICC maana hili ndo jambo pekee kwa sasa linaloweza kuwatia adabu na kuwarudisha kwenye mstari wa kuwaheshimu wananchi hawa wapumbavu CCM.