GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Leo mida ya saa nne asubuhi nilipitia mahali fulani ,kimsingi mshua alikuwa mkufunzi pale since long time ago so namimi design kama mwanafamily hivii.

Kwakua umepita muda sana bila kuonana nao ,kimsingi sikua kule kitambo kidogo so washkaji wakawa wamehamasika sana walivyoniona tulitoka na kwenda mahali kula na kubadilishana uzowefu .

Nje ya mijadala yetu leo ilikuwa ni kama siku ya jamaa kuconfirm ,kila mmoja alikuwa busy sana kuhusu tukio la 29_10 .

Kanuni ni ile ile Italy (wanaoelewa wataelewa)

jamaa walikuwa wanauziana code kimafia sana ,Ngoma hapo ni vipi pale plus huku na kule ,majibu ni No za kati tu ya vikosi ,idadi ya ma captain na uelekeo wao kwa mtindo wa 123 ikiwekwa Green White Red imeisha hiyo equal to Italy , wagumu kufungua code Ngoma hapo ni Roma shusha Bunduki

So ukiambiwa green white and red jua mkuu wa kikosi tajwa ni upande wa wala ugali .

Wazee Maza hana safari , sijui nini kitakachotokea ila tuliombee Taifa .

Maza kwanini asikubali tu ,maana naona dah! , kilichoniogopesha ni wale ambao hawatakuwa makazini nao wameapa kuwa watakuwa kwenye disco vumbi aisee

Binafsi sikutarajia
1761133364653.jpg
 
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ,mwanzo nilitegemea hii hali inaweza kuwa nimikwara tu ya ma keyboard warrior ila kwasasa kwa namna ya mambo yalivyo mmmh! Kuna kaaina fulani kahofu kananiingia ,sitatamani kukulazimisha ila tar 29 hali inaweza isiwe nzuri .

Tutakumbushana inshallah Mungu akitujaalia uzima
Wanaambiana TUWAWAHI Muda Mchache Mambo meengi mno.
 
We mjinga, kwa taarifa yako Samia mwenyewe ameshajiandaa kukimbia nchi. Machawa na vibaraka wake mtashangazwa mno siku hiyo.
Nasikia mijadala bado mizito kutoka kwenye Balaza la usalama wa Taifa (National Security Council )bado inaunguruma huko, kiukweli siyo jambo lenye afya sana Jeshi kukamata usukani , kitaifa tutapoteza hii kwa wanaojua wanajua japo siyo kwasababu zile eti sijui kulala saa 12 namadudu mengine kama hayo No .

Kibiashara hasa zakimataifa ambazo ndizo zinazofanikisha Taifa kuifanikisha miradi ya kimakakati na maendeleo mengine vitasimama kwa muda na pengine kulazimika kulipa hata kabla ya muda .

Zipo faida lakini pia na hasara ni nyingi , siombei tufike huko.

Kinachoboa zaidi ni huu ufala wa kuokotana okotana kama kuku.

Kimsingi minadhani kama Taifa tunapaswa kuset political model yetu ,tukubali tu kuwa zama zimebadikika .

Tutengeneze mazingira ya Rais asiwe Mungu wa Taifa .

Tupunguze mamlaka kwa watu wachache ,turuhusu kukubaliana kwenye kuto kukubaliana pasipo kuuana .

Maza na yule mdingi wanapaswa kuwaza kesho Bora ya Taifa kuliko kujifikiria wao binafsi .

Ndiyo maana najiuliza ,hivi Maza anashindwaa wapi kukubali tu mpira ukae kati ngoma ianze upya atakaeshinda apewe?
 
Nasikia mijadala bado mizito kutoka kwenye Balaza la usalama wa Taifa (National Security Council ) kiukweli siyo jambo lenye afya sana ikitokea Taifa limekuwa chini ya utawala wa kijeshi , kitaifa tunapoteza hii kwa wanaojua wanajua (siyo kwasababu zile eti sijui kulala saa 12 namadudu mengine kama hayo No .

Ila biashara zakimataifa ambazo ndizo zinazofanikisha Taifa kuifanikisha miradi ya kimakakati na maendeleo mengine vitasimama kwa muda na pengine kulazimika kulipa hata kabla ya muda .

Zipo faida lakini pia na hasara ni nyingi , siombei tifike huko ,kinachoboa zaidi ni huu ufala wa kuokotana okotana kama kuku.

Kimsingi kukiwepo tu utawala unaoheshimu sheria ,mengine hayana madhara makubwa.

Ndiyo maana najiuliza ,hivi Maza anashindwaa wapi kukubali tu mpira ukae kati ngoma ianze upya atakaeshinda apewe?
Amefanya madudu mengi sana, hawezi kurudi nyuma pasipo KUFURUSHWA.
 
It would seem I am inclined 2 concur with u'r hypothesis, indeed, u may very well be correct.

even as I connect the unfolding events, I find the trajectory consistently leads there.

We are privy to unofficial reports suggesting they have likewise recruited operatives from neighboring nations (Kenya and Ugandan soldiers) to bolster their strength, perhaps having discerned ,dat many within their own ranks are refusing 2 lend their support....

Now, however, they will inevitably purge these dissenters anyway....🫢

Babu utamu wa hii battle upo ndani , raia nikufanya ucheshi tu ,watu wamechoka yaani nakwambia wamechoka ndiyo maana nawaza hivi hakuna namna Maza akakubali tu yaishe akae nawenzake mezani then waset those so called win win situation? Coz what will going to happen after , I can't guarantee you
Anything and everything is possible.; therefore, nothing is ruled out.

We have the very recent example of what happened in Gabon, where Ally Bongo, the son of Omar Bongo was unceremoniously booted out soon after he had completed his comedy show.

In our case, the wait may be due to allowing time to see what the masses can do to stop these hoodlums in their steps. If that fails, then....the "Bong"o rhumba sets in.
 
Hapo ndiyo kwenye point of no return .

UPande wa pili wao wanachoombea ni ujasiri wa raia tu , raia wakithubutu kutoka ,Ngoma saa nne tu game over .

Ile G-55 bado iko active sana aisee (siyo hii G-55 ya hawa watoto Mbowe )
You keep referring to "G-55" (I know, siyo ile takataka ya Mbowe).

But who is G-55 wakati wote tunawaona wakipigana vibega kurudi Bungeni; tena kwa njia haramu, nyuma ya huyo huyo mhalifu Samia Suluhu Hassan na Genge lake!
Hii inaondoa umakini katika hoja zako.
 
Mimi huwa najiuliza ina maana wanausalama wooote walio karibu na King Samia kwanzia wale wanaosimama nyuma yake na wengine,

yaani wooote wamepewa rushwa,

wooote hawaamini / hawamuogopi MUNGU,

wooote hawana huruma na mambo yanayoendelea kwenye hii nchi,

wooote hawajali maslahi mapana ya nchi wanajijali wao na familia zao tu,

wooote ni waadilifu sana kwenye viapo vyao vya kumlinda mfalme wako tayari kufa wakishikilia viapo vyao, yaani kama wanaamini MUNGU basi ushikamanifu wao kwa huyu mfalme una nguvu / ni wa muhimu zaidi kuliko ushikamanifu kwa MUNGU mwenyewe,

wooote wanampenda / wanamkubali sana huyu mfalme na wako tayari kuumiza watu wengi iwezavyo ili tu huyu mfalme na familia yake waneemeke kwenye hii miaka 80 ya uhai binadamu aliyopewa....

huwa najiuliza tu sipati majibu hadi nachoka mimi kinyozi wa Clemence Mwandambo
 
Kikawaida fikra zako ziko sahihi, na hata mimi ningeliwaza hivyo , kilicho hai siyo kundi kwa maana ya wale wahusika ,hapana ,ni ile spirit ya mageuzi ndicho nilichokuwa nimemaanisha .
You keep referring to "G-55" (I know, siyo ile takataka ya Mbowe).

But who is G-55 wakati wote tunawaona wakipigana vibega kurudi Bungeni; tena kwa njia haramu, nyuma ya huyo huyo mhalifu Samia Suluhu Hassan na Genge lake!
Hii inaondoa umakini katika hoja zako.
 
Mimi huwa najiuliza ina maana wanausalama wooote walio karibu na King Samia kwanzia wale wanaosimama nyuma yake na wengine,

yaani wooote wamepewa rushwa,

wooote hawaamini / hawamuogopi MUNGU,

wooote hawana huruma na mambo yanayoendelea kwenye hii nchi,

wooote hawajali maslahi mapana ya nchi wanajijali wao na familia zao tu,

wooote ni waadilifu sana kwenye viapo vyao vya kumlinda mfalme wako tayari kufa wakishikilia viapo vyao, yaani kama wanaamini MUNGU basi ushikamanifu wao kwa huyu mfalme una nguvu / ni wa muhimu zaidi kuliko ushikamanifu kwa MUNGU mwenyewe,

wooote wanampenda / wanamkubali sana huyu mfalme na wako tayari kuumiza watu wengi iwezavyo ili tu huyu mfalme na familia yake waneemeke kwenye hii miaka 80 ya uhai binadamu aliyopewa....

huwa najiuliza tu sipati majibu hadi nachoka mimi kinyozi wa Clemence Mwandambo
Karibu yote unayoyawaza nikweli na hakuna anaevutiwa na kinachoendelea .

Changamoto ipo kwenye hatua ambayo tatizo lilipofikia .

Kama ni Cancer tayari ipo kwenye grade three (hatua ya mwisho) na kibaya zaidi ipo kwenye kiungo ambacho kama mtawaruhusu madaktari wakikate maana yake mtakuwa hamjamponya mgonjwa zaidi ya kuhitimisha kifo chake .

Nadhani utakuwa umenielewa hapa , ndiyo maana wazo la matumizi ya nguvu ni wazo pekee lenye maana kuliko wazo jingine lolote .

Maana ikitokea wamelegeza kwa namna yoyote madhara yake ni makubwa .

Gesi ya Mtwara haitatoka tena nje , miladi ya makaa ya mawe itafunuliwa yote . Mikataba ya vitalu vya madini itakuwa peupe ,magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya kusafiriahia mizigo mizito itawekwa kushoto na vingi ya namna hiyo vitaguswa lakini kubwa kuliko yote nikwamba chain nzima ile ya huyu baada ya huyu itakuwa imeishia hapo na mwishoni uwezekano wa wahusika kwenda kuozea jela unaweza kuanzia hapo .

Kikawaida unadhani ni nani atakae kuwa tayari?

Taifa ni Mali ya watu hili wazee .

Ukishasoma futa.
 
Kikawaida fikra zako ziko sahihi, na hata mimi ningeliwaza hivyo , kilicho hai siyo kundi kwa maana ya wale wahusika ,hapana ,ni ile spirit ya mageuzi ndicho nilichokuwa nimemaanisha .
Nami sikuwa na watu 'specific' (kundi); lakini katika hilo kundi kubwa la wanaojitambulisha kuwa CCM chini ya Samia, siioni hata ile 'spirit' ya G-55.
Labda iwe ni katika kundi lililo kimya (nyamazishwa), kama akina mzee Warioba; na iwe kwamba wanasubiri tu ipatikane nafasi ya wananchi kuonyesha Samia hatoboi, ndipo na wao waanze nyimbo za Tanganyika. Nani hao, akina Luhaga Mpina?

CCM imevurugwa kiasi kwamba ni vigumu kujuwa kama bado kuna watu wa aina ya akina Njeru Kasaka huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom