GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nami sikuwa na watu 'specific' (kundi); lakini katika hilo kundi kubwa la wanaojitambulisha kuwa CCM chini ya Samia, siioni hata ile 'spirit' ya G-55.
Labda iwe ni katika kundi lililo kimya (nyamazishwa), kama akina mzee Warioba; na iwe kwamba wanasubiri tu ipatikane nafasi ya wananchi kuonyesha Samia hatoboi, ndipo na wao waanze nyimbo za Tanganyika. Nani hao, akina Luhaga Mpina?

CCM imevurugwa kiasi kwamba ni vigumu kujuwa kama bado kuna watu wa aina ya akina Njeru Kasaka huko.
Mkuu kwasasa wanaccm hawanatofauti na watoto wanaosubiri Baba alete kitu mezani , issue kwa sasa iko kwa watanzania wenyewe bila kujali tofauti ya itikadi zao na wengi wanaotegemewa kuleta mageuzi kwa sasa ni wale waliyokuwa hawajihusishi na siasa .
 
Chakuomba sana Mungu hapa ni muitikio wa Raia tu , wakikubali tu kutoka game imeisha.

Kwasababu watakavyotoka police watajipa umuhimu wa kutaka kywashughulikia , wakiwagusa tu ndiyo watakuwa wameunganisha sacket .

Na wakishakiwasha na migogoro ukadumu kwa masaa walau manne tu ,waangalizi wakimataifa watakimbia ,maeneo ya kupigia kura yataharibiwa kitakachofuata nikutanganzwa rasmi kuvurugika kwa ratiba ya uchaguzi na makundi ya watu mchanganyiko kuandamana kuelekea Ukulu huku watu wengine wakikaba maeneo yakimkakati game over
 
Mkuu kwasasa wanaccm hawanatofauti na watoto wanaosubiri Baba alete kitu mezani
I could not have described this any better than you have done....; however,
wengi wanaotegemewa kuleta mageuzi kwa sasa ni wale waliyokuwa hawajihusishi na siasa
This statement is so outlandish; it lacks any form of credibility to be believed! It's too abstract.
 
Chakuomba sana Mungu hapa ni muitikio wa Raia tu , wakikubali tu kutoka game imeisha.

Kwasababu watakavyotoka police watajipa umuhimu wa kutaka kywashughulikia , wakiwagusa tu ndiyo watakuwa wameunganisha sacket .

Na wakishakiwasha na migogoro ukadumu kwa masaa walau manne tu ,waangalizi wakimataifa watakimbia ,maeneo ya kupigia kura yataharibiwa kitakachofuata nikutanganzwa rasmi kuvurugika kwa ratiba ya uchaguzi na makundi ya watu mchanganyiko kuandamana kuelekea Ukulu huku watu wengine wakikaba maeneo yakimkakati game over
Na ndio maana nilimsikia Mzee 1 , anadai kila kitu Kiko tayari, kilicho baki ni stater TU,
 
Option ya kuandamana sio poa!

Neutralization ni njia Bora zaidi!kwanini wasikipe chama kidogo Dola kama josee kabila pale Congo DRC!!?

Kama tumeshamuondoa Mose katumbi was huku kwanini Tshekedi wa huku asiapishwe!!?

Nadhani!
Maandamano, ndio njia pekee 'credible' iliyobaki; baada hata ya huyo 'neutralizer' (Luhaga Mpina) kustukiwa na Genge hilo hilo.
Waliujuwa huo mchezo unaouelezea wewe hapa mapema sana, ndiyo maana wakamziba njia.

Kama siyo maandamano, basi Samia kajitengenezea njia mbovu zaidi ya kuachia madaraka.
 
I could not have described this any better than you have done....; however,

This statement is so outlandish; it lacks any form of credibility to be believed! It's too abstract.
Bro mimi ni mtu na siyo mashine, l know we differ in our capacity 4 elucidation.

It is entirely possible zat I have failed 2 b understood, owing to the limitation of my own ability 2 articulate matters clearly, or perhaps de converse is true. I implore u, therefore, not to accept my words with undue weight.

What I suggest u ,take them, analyze them, and then allow u'r own intellect 2 deliberate upon them , mitandaoni humu usizoe kila kitu bila kuchuja .

My belief is anchored in the gravity of the confirmation I have personally derived from the reality of events I have witnessed. I do not advise that u be moved to the same degree as I ,Nooo.

Respect your own sensibilities, and let us allow time the latitude to reveal its eventual configuration
 
Na ndio maana nilimsikia Mzee 1 , anadai kila kitu Kiko tayari, kilicho baki ni stater TU,
Kinachosikitiaha zaidi ni namna ambavyo raia bado wana 10/100 .

Raia wakikubali tu kutoka nakuvumilia walau yale maji ya pilipili ,maana hayo nilazima watapigwa nayo , ikitokea wakuvumilia bila kukata tamaa ,kitakachofuata ni police kuomba ridhaa nao wataulizwa wingi ,wakijibuwa ni wengi order itascratch.

Yaani wapo watakaoambiwa piga wapo watakaokatazwa , ole wao kwa watakaoambiwa piga ,maana hawatatoka na show ndiyo itaishia hapohapo .

Mimi nitakuwepo , najua lolote linaweza kutokea ila kwakuwatiamoyo raia #nitatoka nao sambamba na kuwapa miongozo miwili mitatu ili athari isiwe kubwa ,kikichanganya ndiyo patakuwa patamu hapo .
 
Nadhani kwa kutojuwa tu, umechanganya sana na kueleza 'analogy' kinyume nyume kabisa.

Huyo Goliath wako uliye mshikisha AK47; kiuhalisia huo ndio umma wa waTanzania wenyewe ambao watamtwanga Goliath halisi. Ukitaka waite wao ndio David, na hizo AK47 ni mali yao.

Go;liath wako alitakiwa awe Samia na Genge lake, ambao hawana lolote, bila ya hiyo mitutu ya AK47.
That's right, it's called interpretation. The problem is that you people can't or don't want to perceive those of others. Not being fond of my interpretation doesn't mean I'm wrong. It simply makes you a sentimental.
 
Even ze act ov recognizing David's seeming insignificance b4 Goliath should guide u to also comprehend its outcome, and ze manner in which David waz able 2 ignite jubilant fervor b4 a despondent multitude.

Furthermore, ze delay of z recognition iz another sign that the most robust plans are those endowed with ze capacity 2 b shrouded by an impenetrable veil of secrecy.

In essence, even now, I might venture to say that I have participated in breaching a sacrosanct principle of confidentiality before those unworthy of knowing what had been concealed 4 so long a time....so Mama akibahatika kujiwa na roho mtakatifu na akasanuka kwenye hizi dakika za lala salama nikama atakuwa amekutana na muujiza wake ila kama atashupaza shingo ,ni jambo jema pia maana anakwenda kukutana na utikilifu wa unabii .

Tuliombee Taifa.
Do you use AI to make points or translate your points from Kiswahili to English? Then reformat it with a bit of slangs to make it sound more human?

Because I've noticed a strange change of pattern in your writing, the most prevalent is your incorrect use of punctuation marks. In Kiswahili, you'd usually put a comma at the center of two words, which is incorrect. Yet, in English, the comma comes immediately preceding a word. As it should be grammatically.

My advice is that you ought to practice more without fear of judgment and try to read English books more often. Start simple without the need of strong vocabulary to sound unnecessarily sophisticated. No one speaks like that unless you're a living academic paper.

Anyway, I just want to see if the Tanzanian people are as brave as their words. Though, I highly doubt it.
 
Kinachotrend ni Uchaguzi vs Maandamano.

Sasa hapo unategemea nini mkuu!

Yaani miaka mingine tulizoea huwa trend inakuwa labda CCM vs TLP, CCM vs CUF, CCM vs CDM nk.

Sasa mwaka huu CCM vs CHAUMA bond imegoma kabisa. Kibao kimegeuka na kuwa CCM vs MAANDAMANO!
Uchaguzi hakuna 2025 hilo.hakuna shaka ...swala lililo baki ni moja maandamano yatakuwa kwa nguvu nchi nzima .....
 
Tuliombee Taifa , najua wengi tunaishi kimazoea sana ila nakusihi tuliombee Taifa.
Acha imani za kishamba mkuu, "tuliombee taifa" ndio nini sasa? alokwambia Mungu anasikiliza maombi ya wajinga ni nani?
 
Do you use AI to make points or translate your points from Kiswahili to English? Then reformat it with a bit of slangs to make it sound more human?

Because I've noticed a strange change of pattern in your writing, the most prevalent is your incorrect use of punctuation marks. In Kiswahili, you'd usually put a comma at the center of two words, which is incorrect. Yet, in English, the comma comes immediately preceding a word. As it should be grammatically.

My advice is that you ought to practice more without fear of judgment and try to read English books more often. Start simple without the need of strong vocabulary to sound unnecessarily sophisticated. No one speaks like that unless you're a living academic paper.

Anyway, I just want to see if the Tanzanian people are as brave as their words. Though, I highly doubt it.
Ukweli mchungu , Mimi naamini huo uthubutu watu wako nao ,japo bado tunasafari ndefu kuifikia hiyo level ,ila mwanzo unatia moyo .

Inaweza isiwe leo ,inaweza isiwe sasa ila hatupo mbali .
 
Karibu yote unayoyawaza nikweli na hakuna anaevutiwa na kinachoendelea .

Changamoto ipo kwenye hatua ambayo tatizo lilipofikia .

Kama ni Cancer tayari ipo kwenye grade three (hatua ya mwisho) na kibaya zaidi ipo kwenye kiungo ambacho kama mtawaruhusu madaktari wakikate maana yake mtakuwa hamjamponya mgonjwa zaidi ya kuhitimisha kifo chake .

Nadhani utakuwa umenielewa hapa , ndiyo maana wazo la matumizi ya nguvu ni wazo pekee lenye maana kuliko wazo jingine lolote .

Maana ikitokea wamelegeza kwa namna yoyote madhara yake ni makubwa .

Gesi ya Mtwara haitatoka tena nje , miladi ya makaa ya mawe itafunuliwa yote . Mikataba ya vitalu vya madini itakuwa peupe ,magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya kusafiriahia mizigo mizito itawekwa kushoto na vingi ya namna hiyo vitaguswa lakini kubwa kuliko yote nikwamba chain nzima ile ya huyu baada ya huyu itakuwa imeishia hapo na mwishoni uwezekano wa wahusika kwenda kuozea jela unaweza kuanzia hapo .

Kikawaida unadhani ni nani atakae kuwa tayari?

Taifa ni Mali ya watu hili wazee .

Ukishasoma futa.
....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom