GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili taifa ni la watu wanao amini sana kuhusu Mungu wanajua kuwa Mungu anaweza kila kitu.. hatujapata kizazi cha akina akhani au kaini..

Tunauhimiza ubongo ukubari kuwa inaweza kuwa hivi wakati kiuhalisia ni 40% ndyooo... cha msingi kunawimbo wa kupiga kura na kutokupiga... sasa hoja itakuwa si kuchagua ccm, chauma au tlp... hapana hoja nenda napige kura..


Mpka sasa ni kama aggregate ya yanga msumbuji.... ukwel mchungu taifa litapita kwenye mwandamo mgumu pengine kuliko kipindi kingine cha uchaguzi kilichopita...

Hili ni taifa letu sote haki na wajibu vinaleta Amani
 
Mimi nitashiriki maandamano ili nije kuwasumbua wajukuu zangu tu kuwa mnaona hizi picture,kunakipindi Taifa lilivamiwa na wahuni then vijana wakitaa tukasimamia show hadi tukamkimbizia uhamiahoni Rais aliyekuwa akiongoza kwa mkono wa chuma wa wakati huo , alikuwa MLA urojo mmoja hivii 🤣🤣

Ila wazee tukifanikiwa kutoka salama hapa , wakike tena wa kutoka ng'ambo tusije kuthubutu kujaribu tena mamamamaaaeee,dah! Katunyorosha ile kim_aku dadadeeki
Hahahaa
 
CCM imepanic au serikali ndiyo imepanic au vyote viwili?

Ukimtazama Mama utagundua hana tema ile confidence yake ile aliyowahi kuwa pale katikati baada ya Polepole kukamatwa , ile sauti yake ya Amirijeshi mkuu siku hizi haibyooki kiviile ,kuhusu kupunguza mwili Wenda nikwasababu ya campaign ila tukimtazama anaonekana anatatizo la kukosa usingizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom