GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hiyo ilitakiwa kukupa picha jinsi gani hao washkaji zako walivyo wadogo. It's equivalent of David vs Goliath, except he has an AK47 this time aroun
Nadhani kwa kutojuwa tu, umechanganya sana na kueleza 'analogy' kinyume nyume kabisa.

Huyo Goliath wako uliye mshikisha AK47; kiuhalisia huo ndio umma wa waTanzania wenyewe ambao watamtwanga Goliath halisi. Ukitaka waite wao ndio David, na hizo AK47 ni mali yao.

Go;liath wako alitakiwa awe Samia na Genge lake, ambao hawana lolote, bila ya hiyo mitutu ya AK47.
 
Sasa huyo saa 100 atajuaje kuhusu hao washkaji zako mpaka ashtuke na akubali yaishe? Ambao hata wewe umekiri kukutana nao na kujua kuhusu hizo harakati zao mida ya saa nne asubuhi?

Hiyo ilitakiwa kukupa picha jinsi gani hao washkaji zako walivyo wadogo. It's equivalent of David vs Goliath, except he has an AK47 this time around.
Even ze act ov recognizing David's seeming insignificance b4 Goliath should guide u to also comprehend its outcome, and ze manner in which David waz able 2 ignite jubilant fervor b4 a despondent multitude.

Furthermore, ze delay of z recognition iz another sign that the most robust plans are those endowed with ze capacity 2 b shrouded by an impenetrable veil of secrecy.

In essence, even now, I might venture to say that I have participated in breaching a sacrosanct principle of confidentiality before those unworthy of knowing what had been concealed 4 so long a time....so Mama akibahatika kujiwa na roho mtakatifu na akasanuka kwenye hizi dakika za lala salama nikama atakuwa amekutana na muujiza wake ila kama atashupaza shingo ,ni jambo jema pia maana anakwenda kukutana na utikilifu wa unabii .

Tuliombee Taifa.
 
Cha muhimu usikimbie. Utaishia kutukana tu. Tanzania kwa sasa haina nafasi ya kupita njia hiyo mnayoifikiria. Nakuhakikishia kwa 💯•
Dah!
Mtu kama wewe uwe na uwezo wa "kumhakikishia" chochote mtu mwingine? Mkisha sshibishwa na makombo ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake mnajitwisha ukuu ambao hanao kabisa!
Samoia wakati huu yupo kwenye hali tete sana; lakini mnao mtegemea kwa maisha yenu hamuamini lolote!
 
Ikiwa kama ulivyo ielezea itashusha sintofahamu iliyopo kwa kiasi kikubwa sana.

Tuombe hali iwe kama hivyo ulivypo ielezea wewe; lakini fahamu, wewe umesikia toka upande mmoja tu; ule upande wa pili pia watakuwa wanayo ya kwao ya kueleza!
It would seem I am inclined 2 concur with u'r hypothesis, indeed, u may very well be correct.

even as I connect the unfolding events, I find the trajectory consistently leads there.

We are privy to unofficial reports suggesting they have likewise recruited operatives from neighboring nations (Kenya and Ugandan soldiers) to bolster their strength, perhaps having discerned ,dat many within their own ranks are refusing 2 lend their support....

Now, however, they will inevitably purge these dissenters anyway....🫢

Babu utamu wa hii battle upo ndani , raia nikufanya ucheshi tu ,watu wamechoka yaani nakwambia wamechoka ndiyo maana nawaza hivi hakuna namna Maza akakubali tu yaishe akae nawenzake mezani then waset those so called win win situation? Coz what will going to happen after , I can't guarantee you
 
Mimi nitashiriki maandamano ili nije kuwasumbua wajukuu zangu tu kuwa mnaona hizi picture,kunakipindi Taifa lilivamiwa na wahuni then vijana wakitaa tukasimamia show hadi tukamkimbizia uhamiahoni Rais aliyekuwa akiongoza kwa mkono wa chuma wa wakati huo , alikuwa MLA urojo mmoja hivii 🤣🤣

Ila wazee tukifanikiwa kutoka salama hapa , wakike tena wa kutoka ng'ambo tusije kuthubutu kujaribu tena mamamamaaaeee,dah! Katunyorosha ile kim_aku dadadeeki
 
Option ya kuandamana sio poa!

Neutralization ni njia Bora zaidi!kwanini wasikipe chama kidogo Dola kama josee kabila pale Congo DRC!!?

Kama tumeshamuondoa Mose katumbi was huku kwanini Tshekedi wa huku asiapishwe!!?

Nadhani!
That premise remains contingent upon ze prevailing out going of these coming days.
However, one must acknowledge that the security apparatus remains intractably opposed 2 the initial proposition ,utata ni namna ya kuiangusha ndiyo shida ,usisahau Ngoma kule imeshikwa na IV⁴ so hapo nitatizo sana kwenye kusikilizana
 
Leo mida ya saa nne asubuhi nilipitia mahali fulani ,kimsingi mshua alikuwa mkufunzi pale since long time ago so namimi design kama mwanafamily hivii.

Kwakua umepita muda sana bila kuonana nao ,kimsingi sikua kule kitambo kidogo so washkaji wakawa wamehamasika sana walivyoniona tulitoka na kwenda mahali kula na kubadilishana uzowefu .

Nje ya mijadala yetu leo ilikuwa ni kama siku ya jamaa kuconfirm ,kila mmoja alikuwa busy sana kuhusu tukio la 29_10 .

Kanuni ni ile ile Italy (wanaoelewa wataelewa)

jamaa walikuwa wanauziana code kimafia sana ,Ngoma hapo ni vipi pale plus huku na kule ,majibu ni No za kati tu ya vikosi ,idadi ya ma captain na uelekeo wao kwa mtindo wa 123 ikiwekwa Green White Red imeisha hiyo equal to Italy , wagumu kufungua code Ngoma hapo ni Roma shusha Bunduki

So ukiambiwa green white and red jua mkuu wa kikosi tajwa ni upande wa wala ugali .

Wazee Maza hana safari , sijui nini kitakachotokea ila tuliombee Taifa .

Maza kwanini asikubali tu ,maana naona dah! , kilichoniogopesha ni wale ambao hawatakuwa makazini nao wameapa kuwa watakuwa kwenye disco vumbi aisee

Binafsi sikutarajia
Mkuu mie na familia yangu yote tunaingia mzigoni. Tumekubali kuwa sadaka, hata kama hatutoishi. Ila sio kwa mateso wanayopitia wananchi wasio na hati na kudhulumiwa haki zao za msingi kabisa za kuishi.
 
Mkuu mie na familia yangu yote tunaingia mzigoni. Tumekubali kuwa sadaka, hata kama hatutoishi. Ila sio kwa mateso wanayopitia wananchi wasio na hati na kudhulumiwa haki zao za msingi kabisa za kuishi.
Uko sahihi sana mkuu .

Kwangu story nitofauti kidogo mke ambaye ametoka kujifungua karibu mwezi mmoja tu uliyopita so kumuacha kwenye kelele siyo busara sana .
 
Uko sahihi sana mkuu .

Kwangu story nitofauti kidogo mke ambaye ametoka kujifungua karibu mwezi mmoja tu uliyopita so kumuacha kwenye kelele siyo busara sana .
Mwisho wa hawa wapuuzi umefika, najua watafanya mauaji ya kutisha na watamwaga sana damu, ila hawatoshinda hii vita dhidi ya wananchi. Tunaenda kuwa na Tanzania ( Tanganyika ) mpya
 
Mwisho wa hawa wapuuzi umefika, najua watafanya mauaji ya kutisha na watamwaga sana damu, ila hawatoshinda hii vita dhidi ya wananchi. Tunaenda kuwa na Tanzania ( Tanganyika ) mpya
Hicho ndicho kinachofanya niogope sana moyoni japo kwa upande wa watawala nikama wamedhamiria kuonja sumu hivii .
 
Hicho ndicho kinachofanya niogope sana moyoni japo kwa upande wa watawala nikama wamedhamiria kuonja sumu hivii .
Mkuu, mvua inapo nyesha hakuna wa kuizuia. Damu itayo mwagika ni sadaka kwa ajili ya ukombozi wa vizazi na vizazi. Ila mwisho wao nao utakuwa umefika, damu hii ndio itakuwa ya mwisho kumwagika kwenye hili taifa na itabaki kuwa kumbukumbuku ya kishujaaa
 
Nchi hii itatengemaa kwa mazungumzo sio mandamano
 
Kunasaa huwa nahisi pengine yule mdingi kamuuza Mama wa watu ,sina hakika hiki kinachoendelea yeye akawa hakijui #siamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom