johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,366
- 142,608
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi zima la uchaguzi.
Chadema wangelia lia sana
Ukinizingua Nakuzingua!