cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
Mi niko katika kimdi la kwanza ingawa ndevu zangu zinamis mvi tu kama ni kigezo cha mtizamo wako Cheusimangala nitaweka dawa.
Mimi sina muonekano huo, wala sina pesa ya kuhonga PRADO lakini nimejaaliwa kuwa "mchezaji" mahiri, je na mimi sio handsome??.
kaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.
Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.
kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.
NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.
week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.
Mimi sipo kote ila kazi yangu nikikufanyia kila mara ukihitaji utawakimbia wote hao in short naweza and Iam blessed coz nina kifaa safi,kizito na chenye nguvu,naogopa kugusa mke wa mtu kozi wadada wengi nimewapiga chini ila wanaomba kuonja tu(Iam serious)
Mimi sina kwalifikesheni yeyote kati ya hizo ulizotaja, lakin ni mtaalamu wa kwenda uvinza na ni subscriber mzuri tu wa ule mtandao wetu,
vp stil am ugly ??? :msela::bange:
tatizo unadhani sisi wakaka tunajali! Hujui psychology ya mwanaume na mwanamke ni tofauti! Kweli nakuonea huruma! Hata kama mimi ni ugly kiasi gani, bado nitapata k tu! Maana kupata k haijalishi unavyoonekana. Nyie mtu asiposema wazuri, basi mnaumia kweli!
offcoz kama una pesa k utapata,
lkn usitake kuniambia kuwa hamna wanaume wanaotamani k na hawazipati la sivyo msamiati 'nyeto' usingekuwepo.
au kama ww ni ugly na pesa huna unaweza kupata K lkn ni zile ugly Ks..
by the way what does K mean?maana najisemea tu hata sielewi maana yake.
Hakuna kitu sipendi kama mwanaume kuvaa mashati ya vitenge au khanga!
being handsome is not an issue, the gud heart,confident and proper working D**K is everything!