Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
Kaamuru nani?Imeshaamriwa Makonda ndiyo atakuwa mbunge wa Arusha mjini
Kwani baada ya kuzaliwa akapewa barua aje kuongoza Tanzania? Si akalime tu?Hakuwa amejipanga na kuwa tayari kwa anachokisimamia !!! Alisoma upepo akaona anaenda kuliwa kichwa kwenye ka-ma-ti !!! Haya hivyo, kwa hali yoyote ile yajayo haytakuwa mazuri upande wake !!
Ufisadi lazima utakuwepo, swali Gambo kama angepata na yeye mgawo angesema? kwanza ana kosa la kupokea posho bila kuhudhuria kikaoKwenye hii kesi, Gambo ni Mbuzi, Mchengerwa ni Mbwamwitu, kamati ya maadili chini ya Tulia ni Fisi. Unadhani hukumu ya Gambo ni nini? Wote tulikuwa tunaijua na lazima aelekezwe kibla.
Makonda ni hirizi ya mazaImeshaamriwa Makonda ndiyo atakuwa mbunge wa Arusha mjini