Kwa hilo la makumbusho ya Hayati Magufuli, Rais Samia apongezwe

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,195


Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.

Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.

Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!

Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.
 
Pesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
 
Hongera sana Mh Rais.
Jambo jema sana hili.
 
Hivi makumbusho ya Mkapa na Nyerere yapo wapi vile
 
Ina maanisha nini hoi
 
Hilo Jumba tunaenda kukumbuka nini?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…