Kwa hili la Manara nimeongeza kujifunza sana kwenye maisha yangu mambo kadhaa

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Ijumaa kareem ndugu zangu.

Naenda kwa ufupi sana kuwa kupitia Manara nimejifunza kuwa hata iweje kwenye utendaji wangu kwa taasisi yoyote, sitakuwa mtupa maneno ya kejeli na dharau na washindani wa taasisi yangu maana siku maisha yakikupiga kofi utapoteza marafiki pande zote.

Asanteni
 
Manara amepata umaarufu sababu ya Simba wakati alipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM Dar wangapi walimjua.

Heshemu wanao kuwekea mkate mezani na aache ukinyonga wa kufanya kazi za GSM na Mo Dewji kwa wakati mmoja
 
Manara amepata umaarufu sababu ya Simba,wakati alipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM Dar wangapi walimjua.
Heshemu wanao kuwekea mkate mezani na aache ukinyonga wa kufanya kazi za GSM na Mo Dewji kwa wakati mmoja
na ww jielewe.Haji hafanyikaz kwa mo.Haji kwa maelezo ya hans pope ni deiwaka wa simba tu.Na ndio maana ck zote hajawah kuitwa na bodi ya simba na kumkataza asifanye kaz na makampun mengne.Kwa hyo ni haki yake manara kufanyakaz na kampun yeyote isipokuwa klab ya mpira wa miguu
 
Rudia kusoma ulichoandika kisha kalale
Teh!na bado kigoma tukiwapiga ndio kutawaka moto pale mkiani,na j3 haji ana press yake serena ya kuuambia umma mnavyomwaga sumu vyumbani pale taifa,yan mnachokoza ugomvi wa mawe while mnaishi kwenye nyumba ya vioo,hahahaaa
 
Teh!na bado kigoma tukiwapiga ndio kutawaka moto pale mkiani,na j3 haji ana press yake serena ya kuuambia umma mnavyomwaga sumu vyumbani pale taifa,yan mnachokoza ugomvi wa mawe while mnaishi kwenye nyumba vioo,hahahaaa
Simba hata afe tena kigoma hakuna moto utakaowaka itatuuma ndiyo Ila kupoteana sahau chief.
Mashabiki wa Simba ni werevu.
 
Ijumaa kareem ndugu zangu.

Naenda kwa ufupi sana kuwa kupitia Manara nimejifunza kuwa hata iweje kwenye utendaji wangu kwa taasisi yoyote, sitakuwa mtupa maneno ya kejeli na dharau na washindani wa taasisi yangu maana siku maisha yakikupiga kofi utapoteza marafiki pande zote.

Asanteni
Hongera kwa hayo....

Everyday is a learning day.....

KIBURI SI MAUNGWANA

#KaziIendelee
 
Manara aliamua kumuonesha Barbara ni adui wa Simba akitegemea mashabiki watakua nae pamoja kama siku zote ila sasa kapatwa na mhaho
Manara ameshindwa kusoma mchezo uzuri, ameshindwa kujua kuwa mashabiki wa simba ni msukule wa Mo, ukimgusa Barba ni sawa na kumgusa Mo.

Ameshindwa kujua unafiki wa wanaompigia makofi, wanajua yeye ni kapuku tu, tangu lini mkono mtupu ukalambwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom