Kwa hili la Manara nimeongeza kujifunza sana kwenye maisha yangu mambo kadhaa

Manara ameshindwa kusoma mchezo uzuri, ameshindwa kujua kuwa mashabiki wa simba ni msukule wa Mo, ukimgusa Barba ni sawa na kumgusa Mo.

Ameshindwa kujua unafiki wa wanaompigia makofi, wanajua yeye ni kapuku tu, tangu lini mkono mtupu ukalambwa.
Duuuuh mkuu una maneno
 
Kikubwa tunachofurahi mikia sasa akili inawarudi,ule ujinga wenu sijui wachezaji wa Yanga wanadai mishahara na wanakula matikiti umewaisha mnamtambua GSM ni mtu wa namna gani hadi mmemtoa kafara lopo lopo wenu
Umeandika pumba ambazo hata kuku au bata hawez kula.
 
Teh!na bado kigoma tukiwapiga ndio kutawaka moto pale mkiani,na j3 haji ana press yake serena ya kuuambia umma mnavyomwaga sumu vyumbani pale taifa,yan mnachokoza ugomvi wa mawe while mnaishi kwenye nyumba ya vioo,hahahaaa
Mjazeni ujinga tu naiman mtamuacha baadae.
 
na ww jielewe.Haji hafanyikaz kwa mo.Haji kwa maelezo ya hans pope ni deiwaka wa simba tu.Na ndio maana ck zote hajawah kuitwa na bodi ya simba na kumkataza asifanye kaz na makampun mengne.Kwa hyo ni haki yake manara kufanyakaz na kampun yeyote isipokuwa klab ya mpira wa miguu
Wewe na Manara wako nendeni GSM..
 
Teh!na bado kigoma tukiwapiga ndio kutawaka moto pale mkiani,na j3 haji ana press yake serena ya kuuambia umma mnavyomwaga sumu vyumbani pale taifa,yan mnachokoza ugomvi wa mawe while mnaishi kwenye nyumba ya vioo,hahahaaa
Ayeeeee
Lio lio lio

Moto umewaka pale nyuma mwikoni
 
Manara ameshindwa kusoma mchezo uzuri, ameshindwa kujua kuwa mashabiki wa simba ni msukule wa Mo, ukimgusa Barba ni sawa na kumgusa Mo.

Ameshindwa kujua unafiki wa wanaompigia makofi, wanajua yeye ni kapuku tu, tangu lini mkono mtupu ukalambwa.
Kama ilivyo mashabiki wa utopolo kwa Manji! Hawataki, lakini wanajipitisha tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom