Kwa hili JK unatutania!

Mheshimiwa NetGroup alex stewarts na upuuzi mwingine are not the foreign professionals im referring to..hivi kampuni are jokes, dili za wanasiasa..zingine hata a decent website hawana...hawana hata track record of work done elsewhere but wamepata contracts bongo...mimi naongelea legit experts internationally recognised...if u were in my shoes saizi nadhani ungenielewa vizuri through being fortunate enough to be lectured by these individuals ni hatari..sometimes mtu unaona aibu ku mention the state of affairs in your country.

Mkuu Kapinga,naona unajaribu ku_assimilate lecturing capability and work performance.Sidhani kama mtu kuwa na uwezo mzuri wa kudeliver lecture then ni kiashiria cha kuwa anaweza kuwa mtendaji mzuri pia.Mi nadhani kama mpo ambao mmeweza kupata knowlegde kutoka kwao hao basi mkisukumwa na uzalendo wenu basi mrudi nyumbani tusaidiane kulisukuma gurudumu la maendeleo.Tatizo letu ni ku_associate SIASA na masuala ya UTENDAJI.
 
Nafikri muhimu ni ku-hire watu wenye uwezo pasipo kuangalia where they come from, kama yuko mbongo basi apewe kipaumbele kama hayuko basi atafutwe mtu........

.....Hivi tumewapeleka akina Mramba + Yona mahakamani kwa ajili ya kutuingiza hasara ya TShs ngapi vile......?............hebu tuangalie hawa watu wametuingizia hasara kiasi gani

1.David Mattaka -ATCL
2.Mrema -TANROADS
3.Kule Bandarini sijui yuko nani sasa hivi

Kwa ufupi hii Wizara ya miundo mbinu inahitaji mabadiliko ya hali ya juu kiutendaji.....Fukuza/peleka mahakamni watu woote waliotutia hasara.........inaelekea waliopo madarakani wanapata kiburi kwakuwa hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi yao.........hasara zinapotokea..........they don't even think/know that its their responsibility.......Damn

...kwa nini unalea mtu kama Mattaka au Mrema.........
 
Dawa si kuwapa pesa hawa ATCL. Pesa tulishawapa huko nyuma lakini tatizo liko palepale hivyo kuna tatizo zaidi ya pesa.

Tuanze kuangali huko nyuma tuliwapa pesa kiasi gani?, je walifanya kile kilichotakiwa kufanywa?, kama hapana kwanini?, wahusika ni nani?, na walichukuliwa hatua gani?.

Lazima kuna ubovu na uzembe katika utendaji ATCL, hivyo kuwapa pesa hakutatatua tatizo hata kama tukiwa $900,000,000,000,000,000 acha hizo sh 500bn.
Tumefikia wakati tukubali kwamba watendaji husika wameshindwa kutimiza wajibu ama hawajui nini wajibu wao. Ni bora na hekima waachie ngazi badala ya kuendelea kututia hasara.

Dawa ya jino ni kuling'oa na wala si vinginevyo.
 
Ni bora na hekima waachie ngazi badala ya kuendelea kututia hasara.

Dawa ya jino ni kuling'oa na wala si vinginevyo.
Mkuu,
Siku hizi dawa si lazima kung'oa// kuna tiba kama root canal..jino linabaki palepale na kazi yake inaendelea.
1.On a serious note...Kwa hawa watendaji wabovu...lawama ziwandee waliowateua... maana yake ni kuwa njia ya kuwapata ndo problem... no meritocrity ..no responsibility wala accountability.
Itakapofikia mahali tukawa na njia transparent ya kushindania nafasi..na uwajibikaji utakuwepo maana kutakuwa pia na njia za kuwawajibisha kwa utendaji mbovu.
2.Watanzania wenye sifa ya utendaji wapo na wanajulikana.Tatizo "they dont belong" kwenye umwenzetu....so long as "kulindana na umwenzetu syndrome" vitaendelea basi tukubali matokeo tu.
 
Hivi Board Chairman is part of Management of Air Tanzania? MD hasikiki sana akiteta kitu katika Shirika hili mara nyingi tunamsikia Chairman au hayupo?
 
Hivi Board Chairman is part of Management of Air Tanzania? MD hasikiki sana akiteta kitu katika Shirika hili mara nyingi tunamsikia Chairman au hayupo?

Utamaduni wa parastatals huo!.Chairman anaingia hadi jikoni....
inahitaji CEO bold kumwambia mipaka yake... kwenye mashirika ya umma/yaliyokuwa ya umma, wenyeviti wengi hudai wapewe ofisi, gari na hata safari za kwenda nje.ATCL is a good case in point.Na ndio maana ni vigumu kumwajibisha CEO maana mwenyekiti nae kajiingiza kwenye utendaji.Ni kwa vipi Board itawajibisha wakati nayo inatenda?
 
Hivi tatizo la ATCL ni fedha? Ina maana akina Mattaka walipoingia madarakani hawakukuta fedha? Mbona walishatekeleza mipango ya kukodi ndege? nadhani tatizo ni zaidi ya fedha kwa sababu hata walizozikuta akina Mattaka zimekwisha... sasa wanataka nyingine?
 
Mimi nadhani ATCL wanatakiwa kwanza kujua wanataka nini, halafu waweke mikakati ya kupata hicho wanachotaka, maana kama hujui nini unachotaka, ni vigumu sana kutatua tatizo lolote, hata kama ni la kifamilia
 
Jamani we don't need external management kwani hata watanzania wanaweza kuendesha mashirika yetu sema wameweka mbele matumbo yao na hakuna anayewakemea.

Nilikuwa kwenye shirika moja la serikali wakati linakuwa restructured wageni wailokuja hawakuongeza chochote zaidi ya kucontrol expenditure na kurestracture operating and administrative costs basi and what happened shirika lilianza kutengeneza faida kutoka kwenye hasara ndani ya miaka 2 tu.

Tunakula sana tunajisahau kuwa ni mali za watanzania wote tunageuza kuwa miradi binafsi, hiki ndicho tunachotakiwa kukiondoa kwenye mashirika ya umma. ATCL imeliwa tunaiona na tumepiga kelele lakini hawakujali hata kidogo na wanapanga kuwapa mapesa zaidi waliokula ya kwanza ili wale zaidi.

tunahitaji damu mpya kwenye management ya mashirika yetu jamani nothing else.
 
wakati wenzetu wanashindana kurekebisha mashirika yanayotaka kufa sisi tunashindana kuua mashirika yenye pesa, na tunasifiwa na kuendelea kukumbaitiwa na viongozi.
 
Dear Readers

Lets hope that the authorities will revive Air Tanzania with the required pundits and not the previous management.
 
mkuu oliverstone the first stone to be removed should be the adviser of the CEO....AMABAE TUNASIKIA NAE NI MENEJA MTENDAJI....HUU NI UPUPU WA KWANZA KUUONDOA ALAFU WENGINE WAFWATE,ILA KWA USWAHIBA ULE SIJUI NAWAPA POLE WAFANYAKAZI WA ATC NDIO NCHI YENU MTAFANYAJE,,,NA WOTE MKIAMUA KUJA KUBEBA MABOX HUKU NANI ATAAWAENDESHA HAO WAKUBWA
NAWATAKIA KILA LA KHERI
 
Kesho kwenye kijarida cha Cheche tutaandika mara ya mwisho na kwa upana wake suala la ATCL. Tutaweka ushahidi wote hadharani wa madai tunayoyatoa. Tutawapa watu huru kuamua baada ya kusoma hoja zetu kuona kama ATCL chini ya uongozi uliopo sasa inastahili hata kupewa senti kumi!

Tumeamua kulifikisha tamati suala hili kwa upande wetu kwani kwa mwaka mzima tumeliandika vya kutosha na kupaza sauti zetu lakini serikali imejifanya kiziwi na kipofu.
 
Ndugu wananchi,tumemsikia RAIS wa tanzania akisema anaitaji kuiona ATCL ikiruka hata jumatatu,,nafurahi kuona kumbe hi kamPuni ni ya watanzania na si ya mattaka na menejiment yake kama walivyozani,,yaah kuna thread nyingi za atcl na jinsi gani ya kuisaidia kuweza kutoka icu ,,,Bado najiuliza kwa upuuzi wa menejiment ya ATCL na WIZI ulifanywa mpaka kampuni ikafikia hapo je kulikuwa na umuhimu wowote wa kuunda task force jamani kuweza kuwaondoa ...embu tujaribu kuwaelekeza vyema hawa watu maana najua hata kama kuiimarisha hiyo kampuni kutaanzia uko serikalini,sasa kama hao wanaotarajiwa kuinyanyua atcl ndio hao wanakimbizana na tume ,tume,\tume hizi zinanini???na labda swali langu nimuulize mh WAZIRI alivyoongea kwenye Vyombo vya habari amemuelekeza mwenyekiti wa bodi siku saba,baada ya hapo atatoa maamuzi kwa wote waliohusika,,then anapelekewa ripoti na mwenyekiti wa bodi na kuamua kunda tume tena jamani hiz TF(taskforce) ZITAISHALINI??swali kulikuwa na umuhimu
kwa nini pesa za serikali zinachezewa hivi jamani??
kila la kheri ATCL YENU
 
Hivi Board Chairman is part of Management of Air Tanzania? MD hasikiki sana akiteta kitu katika Shirika hili mara nyingi tunamsikia Chairman au hayupo?

mkuu kama mwenyekiti wa bodi amelazimisha kupewa staff no SN1347 NA KUCHUKUA MKOPO WA MILLIONI KUMI NA MWISHO KUOMBA ATARUDISHA DOLER NYINGINE 2500 ALIPOKUWA ANAENDA HONGKONG ALIPORUDI N KUULIZWA AKADAI JAMANI SI NILISEMA NAOMBA MNISAIDIE MTU KAMA HUYU ATASHINDWA KUWA MSEMAJI WA KAMPUNI,NA DM ATAKUWA NA SAY KWELI??TUWAACHIE TASKFOOOOOOOOOOOORCEEEEEEEEEEE
 
Uchafu mwingine ama uozo uliopo atcl nimesikia kuna wakuu waliamua kustaaf alafu wakaendelea na kazi baadaa ya kulamba pesa zote mfano ni

meneja mtendaji mark manji
huyu aliamua kuresign na kuchukua mafao yake na mwisho kupewa cheo kilekile ,mwingine nasikia

hr wao huyu nae karesign kalamba pesa zote karudishwa upya
unafikiri kwa mtindo huu litafika popote hii kampuni.na je hakuna watu wanaoweza kuendeleza kazi zao mpaka wanaamua kuresign na kurudia post zao upya???

Huu ndio uozo anaolea dm matokeo yake yanamtokea puani sasahivi
 
Mmmmmmmmmhhh

MARK MANJI??HUYU SI MDOGO WAKE YUSSUF MANJI??INAONEKANA HAWA MANJI'S HATARI SANA KWENYE SWALA LA MILO...HAYAA JK TUKUACHIE NA MANJ ZAKO
 
Ninahisi hii mikutano ya Rais na wizara mbalimbali ni some kind of campaign tukielekea kipindi cha uchaguzi cha 2010. Nimekuwa nikisoma maneno yake- tangu alipokutana na jamaa wa reli, bandari na sasa ATCL. Hivi kuna mtu anayedhani JK hajui ni kwanini ATCL imefikia hapo ilipo sasa? Sisi walalahoi tunaodonoa info hapa JF tunajua, sembuse Rais ambaye kuna watu wanampa taarifa kila siku? Iweje sasa kipindi hiki ndo 'ajidai' anataka kujua sababu? Anajua hii mikutano yake inapata coverage nzuri kwenye media na huu ndio wakati mzuri wa 'kupiga bao'! Nilitegemea Rais pamoja na kuwa mkali kwenye hivi vikao vyake anavyofanya sasa na wizara mbalimbali, kuja pia na 'solutions' kwa kuwa matatizo mengi anayajua.
 
ninahisi hii mikutano ya rais na wizara mbalimbali ni some kind of campaign tukielekea kipindi cha uchaguzi cha 2010. Nimekuwa nikisoma maneno yake- tangu alipokutana na jamaa wa reli, bandari na sasa atcl. Hivi kuna mtu anayedhani jk hajui ni kwanini atcl imefikia hapo ilipo sasa? Sisi walalahoi tunaodonoa info hapa jf tunajua, sembuse rais ambaye kuna watu wanampa taarifa kila siku? Iweje sasa kipindi hiki ndo 'ajidai' anataka kujua sababu? Anajua hii mikutano yake inapata coverage nzuri kwenye media na huu ndio wakati mzuri wa 'kupiga bao'! Nilitegemea rais pamoja na kuwa mkali kwenye hivi vikao vyake anavyofanya sasa na wizara mbalimbali, kuja pia na 'solutions' kwa kuwa matatizo mengi anayajua.


hii ni kampeni ya 2010 imeanza. Mkuu wa kaya anajua kila kitu kinachoendelea na pia anaelewa wadanganyika wanataka nini ili kudanganyika kirahisi. Bado hajapata kura yangu 2010
 
Back
Top Bottom