Kwa Hili, Clouds FM Inastahili Pongezi!.

Kwa Hili, Clouds FM Inastahili Pongezi!.

You are very right its only relevant kwa wasikilizaji wa clouds na wale ambao hawakusikiliza leo nimewaambia wasikilize kesho, iko on line na kesho atakuwepo January Makamba!. Sio lazima kila mtu asikilize Clouds ila pia sio lazima kila mtu acomment kila post, next time ukioana haikuhusu and its irrelevant, just shut down your big mouth, just shut up!. Sio lazima ukoment every post!, wata comment wenye relevance!.
Mkuu nina uhakika utakuwa umejisahau na unadhani hapa upo Facebook, nakushauri uungane na William Malecela kule Facebook ili mshindane kwa kutoa status za kipuuzi na mashabiki wenu misukule wawe wanawagongea Like button.
Jahazi wana page yao Facebook kwa nini hizi sifa za kijinga usipost kwenye wall yao? naona posho za vazi la Taifa sasa zimeshaanza kuwalevya.
 
Clouds ni chombo binafsi inafanya inavyotaka na huyo kibonde anasema inavyotaka radio na sio anavyotaka cha msingi hamisha frequency kama wanakuboa. Napita tu jamani
 
Some people bana hii Nayo ni thread! My footy ....it is simply a c rap hivi promo wekeni kwa twitter na FB...huo ni mtazamo wako eti clowns radio inastahili pongezi lol! This goes below the belt
 
clouds ni ccm! kwenye magazeti wakiona habari ya chadema utamsikia pJ ooh mimi staki siasa ila kwa ccm anasoma! ikifika jumatano hawasomi mwanahalisi maana wanajua si ccm. Wanatafuta vazi la taifa huku wanapiga miziki ya maneno ya kiswahili na mdundo wa kimarekani! acheni utani! ila kama leo wamefanya vizuri wabarikiwe!
 
Some people bana hii Nayo ni thread! My footy ....it is simply a c rap hivi promo wekeni kwa twitter na FB...huo ni mtazamo wako eti clowns radio inastahili pongezi lol! This goes below the belt
Njaa na akili haviwezi kwenda pamoja kamwe!!
 
Wanapo wa intavyuu magamba huwa wanafanya vibaya sana? si ndio maanake?
 
Dah,nimechoka sana!bt mleta thread ungetusaidia walau kwa kutueleza hayo mazuri uliyoyabaini wakati wa mahojiano ili nasi tuweze kuona wanastahili pongezi kwa kiasi gani.lakini ukituacha njiani sie tunakosa mwelekeo kwakuwa si wote wenye access ya kusikiliza radio.
 
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.

Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.

Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.

Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.

Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
NImesikiliza kipindi, kilikua kizuri kwenye mahojiano, lakini kitendo cha wao kucheka baada ya jibu la waziri hakikua cha nidhamu sana.. na anayeendesha nidhamu si kibonde ni wale madogo....

Kibonde was good, but has lost the flavor baada ya kuover-do jokes zake
 
Some people bana hii Nayo ni thread! My footy ....it is simply a c rap hivi promo wekeni kwa twitter na FB...huo ni mtazamo wako eti clowns radio inastahili pongezi lol! This goes below the belt

Kamanda vipi tena, naona unatupa mawe...
 
Mkuu Pasco labda ilitokea tu leo wakati Kibonde anafanya mahojiano na Zitto akawa makini lakini kiujumla Kibonde hana lolote la maana zaidi ya kuwa kibonde katika kila kona. Usimdhamini huyo Kibonde muda si mrefu atafanya madudu.
 
Kamanda vipi tena, naona unatupa mawe...

MTM huyo mchungaji hajuagi kucheka na mapepo zaidi ya kuyang'oa tu nikimnanisha ukileta ****** anatupa mawe na ban kwake siyo kitisho bali ni uzalendo kwa kusema ukweli kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeeeeh.
 
NImemuagizia mvinyo spesho wa kiskochi, najua akishushia na nyama choma kidogo atakua na mawe zaidi:rant:
 
These days, ohoo, sometimes it's very difficult to understand JF folks, the so called great thinkers.
 
NImemuagizia mvinyo spesho wa kiskochi, najua akishushia na nyama choma kidogo atakua na mawe zaidi:rant:
Huwa namuoneaga huruma sana Pasco katika thread zake nyingi anakumbana na upinzani mkali wa mawazo yake jambo ambalo nadhani asipoliangalia litamsumbua kwa kumuondolea confidence yake ya kile alikaminicho kukiona hakipo sahihi hata kama kipo sahihi.
 
Mkuu Losambo, I'd rather be an " an enemy of the people kwa kusimamia ukweli, I don't give a dam as long as I do the right thing at the right time!. They can just go to hell!. Go to hell!.
 
Back
Top Bottom