Kwa Hili, Clouds FM Inastahili Pongezi!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Hili, Clouds FM Inastahili Pongezi!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Feb 13, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.

  Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa kipindi cha Jahazi na kule nyuma nimeshawahi kutoa mawazo yangu kuhusu kipindi hiki tangu enzi zile. na nikatoa mawazo jinsi baadhi ya watangazaji wao walivyo wapuuzi puuzi na kuongea lugha zisizo na staha!.

  Kusema ukweli leo nimesikiliza mahojiano ya Zitto kwenye kipindi cha Jahazi nakiri wazi sasa Kibonde has grown up into a mature young guy. Ule ujinga ujinga wake na ****** ****** ameacha kabisa kwa leo!. Big Up kwa Clouds FM for that!.

  Kwa wengine ambao hamkubahatika kusikiliza kipindi cha leo, nawasihi kesho zikilizeni mahojiano na January Makamba, mtakubaliana nami kuwa kwa hili Clouds FM wastahili pongezi!.

  Angalizo: Najua pia humu jukwaani tuna lots of hate preachers wa kumwaga, kwao wao hakuna jema, kwao wao kila jambo kwao ni baya na kuvurumisha hate preaching pekee. I beg them, wabadilike!. Kwenye kustahili sifa watoe na kwenye kustahili kubonda ndio wabonde, isiwe basi ni kubonda tuu kila kukicha as if hakuna hata jema moja!.
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  aliyefanya vizuri ni clouds au kibonde?mbona hueleweki?
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  very true!
   
 4. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pasco umenena maneno ya busara sana. Big up.
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wanajikosha hai hata hivyo walikwishachelewa
   
 6. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kweli kbs hata mie nawapongeza na nimeckiliza kipindi na mahojiano yote,km watakua wanatumia muda wao kila cku kwa kujadili vitu muhimu na vya kitaifa km walivofanya leo hakika watakua wajirekebisha na kuacha zile porojo zao ziczokua na maana!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu tujadili nini? Zitto, clouds, kibonde, Jahazi hueleweki!!!
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  magamba ni magamba tu! Hilo moja walilofanya alifanyi mabaya mia zaidi yasaulike! Wao ni wafuuuu fmmmmm tu hawana jipya!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Imagine mtu ambaye hajasikia hicho kipindi hii thread inakuwa irrelevant!
   
 10. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisifuye mvua ujue imemnyea.Au siri ya kaburi huijua maiti vipi washakuonjesha masa***i nin??
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  clouds wamesoma alama za nyakati,ccm haitafika 2015 ikiwa inaongoza serikali hivyo kujikomba ccm hailipi kwa sasa
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hata mimi sielewi cha kusifia ni kipi hapa!
   
 13. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tulishaacha kuskiliza icho kiredio
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Promoter ar work! next time!
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Mwandishi wa gazeti akishaandika habari ikitoka ni mali ya gazeti na credits zinaenda gazetini ndio maana utasikia gazeti la uhuru/nipashe/ mwananchi etc limeripoti so and so. Gazeti halitafuti habari wala haliandiki habari, wanaotafuta habari na wanaoandika ni waandishi ila credits ni kwa gazeti!.

  Vivyo hivyo kwa vituo vya redio na tv, vituo havitafuti habari au kufanya vipindi bali ni watangazaji. Kipindi cha jahazi ni cha Clouds Radio na sio cha Kibonde, hata kama kinatangazwa na Kibonde hivyo credits zinakwenda Clouds!.

  Angalizo:,Kuna vipindi vya nje ambavyo sio mali ya kituo husika kama vile vipindi vya "Wiki ya Utumishi wa Umma na PPR", " Saba Saba na PPR", " Nane Nane na PPR" na " Miaka 50 ya Uhuru na PPR" etc, hivi ni vipindi vya nje ya tv husika hivyo credits zinakwenda kwa wenye kipindi " PPR"!.
   
 16. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kumbe Clouds ina wapenzi wengi eeeh.....tih tih tih
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  You are very right its only relevant kwa wasikilizaji wa clouds na wale ambao hawakusikiliza leo nimewaambia wasikilize kesho, iko on line na kesho atakuwepo January Makamba!. Sio lazima kila mtu asikilize Clouds ila pia sio lazima kila mtu acomment kila post, next time ukioana haikuhusu and its irrelevant, just shut down your big mouth, just shut up!. Sio lazima ukoment every post!, wata comment wenye relevance!.
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Chademaaaa !
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  leo wamegusa Chademaaa!
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  Pasco potezea bhana
   
Loading...