GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Habari ya Leo GT.

Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA;
1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini?
a: Kupunguza pressure mtaani
b: Kupunguza mzigo kwa CCM
c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba suala liko mahakamani na huku wao wakichezesha mhimili wa mahakama kwa mlango wa nyuma.

2: Nini kifanyike?
a: Chama kianze harakati zake kama kawaida.
b: Chama kiandae wapambanaji mbadala Kila hatua, ili wakiwakamata waliopo wengine waendelee.

c: Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE.

d: Tupunguze kulia lia, ndo Maana Lissu anatuuliza Kila siku "Mimi sijachoka nyinyi mmechoka?" anaona kabisa hatuna Ari ya mapambano, nani aliwaambia vitani akifa kamanda Ari ya mapambano inakufa? Ari ndo inazidi kuongezeka! Ndg Heche toa mwongozo kwenye mabaraza yote ya Chama, VIONGOZI wa Kanda na wote katika mikoa Yao mashambulizi yaendelee, acha kulia lia na mahakama.

e: Punguza mahudhurio ya Mahakama! anza kuchora ramani ya mapambano kuna kina Heche wa Tarime, tuna wapambanaji wa songea kule, tuna wapambanaji wa Arusha, Dodoma, tuna wakiki Matata, Lema arudi field nk, haki haiombwi inapambaniwa.

f: Tusiwafundishe wanachama unyoge na kulia lia, ndo maana Lissu alitamka wazi mahakamani mjiandae nikitoka tunarudi barabarani. Mlisema mtafanya siasa ngumu, inawezekanaje kiongozi katekwa hakuna amsha amsha? mnalia Lia kama uongozi uliopita? Tunataka nchi yote iwe kama Wamasai, huwaoni wakilalamika mtandaoni ila wako organized unawakuta wamekusanyika elfu 40 wanadai haki Yao.

Sasa tunatakiwa tumdai Lissu aachiwe kwa maandamano nchi nzima na mikoa yote, tunataka reform kwa maandamano yasiyokama huku wanachama wakishikilia majani mikononi na sime kiunoni kama ishara yakuwa tayari kwa mapambano. Kama kweli viongozi wa serikali ya mitaa hawakuchaguliwa basi wananchi wawe tayari kuwaotoa madarakani wakakusanyike Dodoma huko.

g: Ni muda wakuchagua mitume nakuwaosha miguu. nimemtumia huo mfano wa alichofanya Yesu, sasa basi mpaka muda huu tunawajua wapambanaji gani wawe front line na field wawe kina nani. Waite mikoa yote au pita Kanda zote waoshe miguu yaani wape mamlaka na wawe tayari kwa utii na wawe tayari kwa kiapo kuwa kwa damu ya wapambanaji wenzao walioanguka udongoni ( Ali Kibao, na wenzake, ) hawatasaliti mapambano iwe ni kiapo.

h: Viongozi wa matawi na shina hadi ngazi watengeneze mtandao wa mawasiliano wawe wanaweza kuwasiliana nakukusanyika kwa ghafla na very surprised, ili watesi wakute nchi nzima tumekutana na tunadai kitu kimoja, fikiria kina Bibi Titi waliwezaje kuwa organize watu na mikutano ikafanyika kipindi ambacho barabara ni mbovu mitaa iko mbali mbali, hakuna simu.

Je, nyinyi mnashindwa nini kuorganize wafuasi? Acheni kulia lia na mahakama ni upbavu kwenda kulia lia kwa CCM. wewe unajua kabisa huyu jaji ni WA Mchongo, wachieni nawakili waendelee naye sisi huku field kiwake yaani hamasa iwe kubwa. Yaani sasa hivi ni kama tunamsuburi Lissu atoke ndo vibration ianze!

Na shuka Jukwaani, nimekosa usingizi harakati zinachemka kifuani....
Too late!

Mnakumbuka shuka wakati tayari kumekucha!?!!

Nimekuwa nikitoa ushauri mara nyingi sana kupitia katika mtandao huu kwamba Watu wa Vyama vya Upinzani hususani CHADEMA wanapaswa wawatafute Think Tanks and the Strategists ili wawasaidie katika kupanga Mukakati yao ya Mapambano ya kisiasa. Naona kama wahusika walikuwa hawaelewi umuhimu wa ushauri wangu huu, matokeo yake Sasa ndio haya.

Siasa za kiAfrika ni Vita, na Vita ni Mipango. It is a matter of War Planning and Execution!
Na wakati wa Amani ndio muda mzuri zaidi wa kujiandaa na Vita!
 
Haunijui vizuri mkuu ngoja niishie hapo mimi nilikuwa muoga kama wewe nilibadili mtazamo wangu baada ya kusoma vitabu viwili tu kwenye hvyo vitabu wanasema maendeleo hayaletwi na watu wengi yaani mtu mmoja anaweza akabadilisha mtazamo au mustakabali wa nchi na kuikomboa nchi kama Martin Luther king jr na malcom x vitabu hvyo ni "LONG WALK TO FREEDOM BY NELSON MANDELA "
Na "I'M MALALA ".

Kwa mfano kama Malala historia yake ni ya kusikitisha sana Taliban walimpiga risasi nusu ya kutoa uhai wake lakini ndio alibadilisha mtazamo wa elimu kwa wanawake huko Taliban maana ilikuwa hawaruhusisiwi kwenda shule yaani mimi kwenye haki yangu sizulumiwi mkuu mpaka naamuliwa na watu hapa ofisini ninapofanya kazi wananijua vizuri.
Hongera sana mkuu kwa msimamo. Ila aina yako ya watu ndio wale utasikia ITV “Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumuua mtu aliyekua anamdai Tsh2,0000”
 
Hapana mkuu kuna madai ya kisheria na madai ya mtaani madeni ya mtaani huwa naangalia na mtu wengine unasamehe maana unaona kabisa hyu hana hela ya kulipa ila kwa mfano hela yangu ya likizo, hela ya overtime,hela ya kwenda site, hzo zipo kwa mujibu wa sheria ukisamehe watu wanakupiga na ndio ninachozungumzia.

mimi sio mwana siasa ila nasoma katiba ya Tanzania ngoja niishie hapo maana pale ofisini wananiita majina ya wanasiasa kwasababu wanajua hela yangu hailiwi bure.
 
Hakuna mtu anayependa kuishi hayo maisha ya kuteseka kwa sababu za kisiasq, hayupo.
Ni kwasababu hamjaguswa kunako.

Kwa sasa bado wanauza rasilimali za nchi na zipo lukuki.

Lakini kwa kasi hii ya utapanyaji inayoongezeka kila uchao zitaisha mapema na hapo watawageukia na kuanza kuwanyang’anya kile kidogo ambacho wamewaachia kwa sasa.

Na hapo ndipo yatatimia yale maandiko kuwa mtu atatoa kila alicho nacho kwa ajili ya uhai wake.
 
Kinachotengenezwa ni UASI na huenda tukashindwa kujua impact ya huu upumbavu wa CCM
 
Habari ya Leo GT.

Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA;
1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini?
a: Kupunguza pressure mtaani
b: Kupunguza mzigo kwa CCM
c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba suala liko mahakamani na huku wao wakichezesha mhimili wa mahakama kwa mlango wa nyuma.

2: Nini kifanyike?
a: Chama kianze harakati zake kama kawaida.
b: Chama kiandae wapambanaji mbadala Kila hatua, ili wakiwakamata waliopo wengine waendelee.

c: Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE.

d: Tupunguze kulia lia, ndo Maana Lissu anatuuliza Kila siku "Mimi sijachoka nyinyi mmechoka?" anaona kabisa hatuna Ari ya mapambano, nani aliwaambia vitani akifa kamanda Ari ya mapambano inakufa? Ari ndo inazidi kuongezeka! Ndg Heche toa mwongozo kwenye mabaraza yote ya Chama, VIONGOZI wa Kanda na wote katika mikoa Yao mashambulizi yaendelee, acha kulia lia na mahakama.

e: Punguza mahudhurio ya Mahakama! anza kuchora ramani ya mapambano kuna kina Heche wa Tarime, tuna wapambanaji wa songea kule, tuna wapambanaji wa Arusha, Dodoma, tuna wakiki Matata, Lema arudi field nk, haki haiombwi inapambaniwa.

f: Tusiwafundishe wanachama unyoge na kulia lia, ndo maana Lissu alitamka wazi mahakamani mjiandae nikitoka tunarudi barabarani. Mlisema mtafanya siasa ngumu, inawezekanaje kiongozi katekwa hakuna amsha amsha? mnalia Lia kama uongozi uliopita? Tunataka nchi yote iwe kama Wamasai, huwaoni wakilalamika mtandaoni ila wako organized unawakuta wamekusanyika elfu 40 wanadai haki Yao.

Sasa tunatakiwa tumdai Lissu aachiwe kwa maandamano nchi nzima na mikoa yote, tunataka reform kwa maandamano yasiyokama huku wanachama wakishikilia majani mikononi na sime kiunoni kama ishara yakuwa tayari kwa mapambano. Kama kweli viongozi wa serikali ya mitaa hawakuchaguliwa basi wananchi wawe tayari kuwaotoa madarakani wakakusanyike Dodoma huko.

g: Ni muda wakuchagua mitume nakuwaosha miguu. nimemtumia huo mfano wa alichofanya Yesu, sasa basi mpaka muda huu tunawajua wapambanaji gani wawe front line na field wawe kina nani. Waite mikoa yote au pita Kanda zote waoshe miguu yaani wape mamlaka na wawe tayari kwa utii na wawe tayari kwa kiapo kuwa kwa damu ya wapambanaji wenzao walioanguka udongoni ( Ali Kibao, na wenzake, ) hawatasaliti mapambano iwe ni kiapo.

h: Viongozi wa matawi na shina hadi ngazi watengeneze mtandao wa mawasiliano wawe wanaweza kuwasiliana nakukusanyika kwa ghafla na very surprised, ili watesi wakute nchi nzima tumekutana na tunadai kitu kimoja, fikiria kina Bibi Titi waliwezaje kuwa organize watu na mikutano ikafanyika kipindi ambacho barabara ni mbovu mitaa iko mbali mbali, hakuna simu.

Je, nyinyi mnashindwa nini kuorganize wafuasi? Acheni kulia lia na mahakama ni upbavu kwenda kulia lia kwa CCM. wewe unajua kabisa huyu jaji ni WA Mchongo, wachieni nawakili waendelee naye sisi huku field kiwake yaani hamasa iwe kubwa. Yaani sasa hivi ni kama tunamsuburi Lissu atoke ndo vibration ianze!

Na shuka Jukwaani, nimekosa usingizi harakati zinachemka kifuani....
Ni muda labda waende msituni guerilla war hivi hivi hakuna kitu
 
Maduara ya dhahabu unayajua? mashamba unayafahamu?
vyote nilivyosema ninaudhoefu. navyo, njoo terat uone vijana wadogo miaka 19-23 walivyo na trecta, wanavu maharage mpaka wanachancanyikiwa.
 
Aliyemweka Tundu Lissu ndani ni Salim Mwalimu.Pia amesimamisha vikao vya CHADEMA ili ajenge chama chake upya.Na Samiah anamtumiah huyu mtu kama kinga yake.
Bado sijaelewa nguvu aliyonayo Salim hadi amuamuru DPP na DCI kumkamata Tundu.

Mimi naamini Tundu ameingia mkenge

kwa tabia yake ya roporopo. Yule bwana hana mshipa wa kuchuja cha kuongea. Msikie hapa, halafu niambia ukimuacha wewe utakuwa ni Serikali ya JMT au serikali ya kijiji?;-
 
Unaongea kupitia makalio kijana, lisu hajafanya lolote zaidi ya wajumbe kusema INATOSHA kwa Mbowe...uchaguzi kila mmoja aliona na alihesabu kwa macho yake...HILA ILITOKA WAPI??
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.
 
Back
Top Bottom