Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
- Thread starter
- #21
Acheni wekeni silaha zenu chini, maskini kugombanishwa na tajiri ili aendelee kuwanyonya siyo sawa, tuungane tuunganishe nguvu zetuMbona wewe mwenye akili uko huru? Kwanini hauko Ukonga na Tundu Lissu? Ukijiona hauko Ukonga ujuwe na wewe juha kama mimi tu