GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mi nipo tayari kukinukisha ujue kwanza nawaza ninunue petrol lita 1 nichome ofis ya ccm ...
kwa wale wenye kumbukumbu Wenje alitangazwa Mwanza baada ya wananchi usiku kuanza kuchoma ofisi za CCM sawa sawa na Mbeya na Arusha...haiwezekani Viongozi wa serikali za mitaa na vitongoji hatukuwachagua watuongoze, labda wakaishi Polisi
 
Yaani uonevu umezidi ..aise mi bora nife tu
 
Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE.📌🔨💥✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿
 
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.

Mwamba yuko pale anawaangalia wanavyoteseka.
 
Habari ya Leo GT.

Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA;
1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini?
a: Kupunguza pressure mtaani
b: Kupunguza mzigo kwa CCM
c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba suala liko mahakamani na huku wao wakichezesha mhimili wa mahakama kwa mlango wa nyuma.

2: Nini kifanyike?
a: Chama kianze harakati zake kama kawaida.
b: Chama kiandae wapambanaji mbadala Kila hatua, ili wakiwakamata waliopo wengine waendelee.

c: Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE.

d: Tupunguze kulia lia, ndo Maana Lissu anatuuliza Kila siku "Mimi sijachoka nyinyi mmechoka?" anaona kabisa hatuna Ari ya mapambano, nani aliwaambia vitani akifa kamanda Ari ya mapambano inakufa? Ari ndo inazidi kuongezeka! Ndg Heche toa mwongozo kwenye mabaraza yote ya Chama, VIONGOZI wa Kanda na wote katika mikoa Yao mashambulizi yaendelee, acha kulia lia na mahakama.

e: Punguza mahudhurio ya Mahakama! anza kuchora ramani ya mapambano kuna kina Heche wa Tarime, tuna wapambanaji wa songea kule, tuna wapambanaji wa Arusha, Dodoma, tuna wakiki Matata, Lema arudi field nk, haki haiombwi inapambaniwa.

f: Tusiwafundishe wanachama unyoge na kulia lia, ndo maana Lissu alitamka wazi mahakamani mjiandae nikitoka tunarudi barabarani. Mlisema mtafanya siasa ngumu, inawezekanaje kiongozi katekwa hakuna amsha amsha? mnalia Lia kama uongozi uliopita? Tunataka nchi yote iwe kama Wamasai, huwaoni wakilalamika mtandaoni ila wako organized unawakuta wamekusanyika elfu 40 wanadai haki Yao.

Sasa tunatakiwa tumdai Lissu aachiwe kwa maandamano nchi nzima na mikoa yote, tunataka reform kwa maandamano yasiyokama huku wanachama wakishikilia majani mikononi na sime kiunoni kama ishara yakuwa tayari kwa mapambano. Kama kweli viongozi wa serikali ya mitaa hawakuchaguliwa basi wananchi wawe tayari kuwaotoa madarakani wakakusanyike Dodoma huko.

g: Ni muda wakuchagua mitume nakuwaosha miguu. nimemtumia huo mfano wa alichofanya Yesu, sasa basi mpaka muda huu tunawajua wapambanaji gani wawe front line na field wawe kina nani. Waite mikoa yote au pita Kanda zote waoshe miguu yaani wape mamlaka na wawe tayari kwa utii na wawe tayari kwa kiapo kuwa kwa damu ya wapambanaji wenzao walioanguka udongoni ( Ali Kibao, na wenzake, ) hawatasaliti mapambano iwe ni kiapo.

h: Viongozi wa matawi na shina hadi ngazi watengeneze mtandao wa mawasiliano wawe wanaweza kuwasiliana nakukusanyika kwa ghafla na very surprised, ili watesi wakute nchi nzima tumekutana na tunadai kitu kimoja, fikiria kina Bibi Titi waliwezaje kuwa organize watu na mikutano ikafanyika kipindi ambacho barabara ni mbovu mitaa iko mbali mbali, hakuna simu.

Je, nyinyi mnashindwa nini kuorganize wafuasi? Acheni kulia lia na mahakama ni upbavu kwenda kulia lia kwa CCM. wewe unajua kabisa huyu jaji ni WA Mchongo, wachieni nawakili waendelee naye sisi huku field kiwake yaani hamasa iwe kubwa. Yaani sasa hivi ni kama tunamsuburi Lissu atoke ndo vibration ianze!

Na shuka Jukwaani, nimekosa usingizi harakati zinachemka kifuani....
Anza ww..ukifanya ww inatosha!!
 
Keybord worrior, unatoa ushauri na kwenye mapambano hutokei, huu ni ushauri wa kijinga sana
 
Haki haiombwi karata ya ushindi iko hapa:

"c: Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE."
wote nan, watu wako busy na kaz, biashara zao. mashamba yao, maduara yao ya dhahabu na familia zao, na watoto wao wanaenda shule kwa amani. wanakula maisha. wewe unasema waende gerezan, unaota ndoto za mchana ee??
 
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.
Wewe ungekuwa gerezani. Umefunguliwa kesi ya uhaini. Kwa zaidi ya miezi 90 upo ndani ya gereza. Je, ungekuwa na mikakati ya kujenga familia yako ukiwa gerezani?.
 
wote nan, watu wako busy na kaz, biashara zao. mashamba yao, maduara yao ya dhahabu na familia zao, na watoto wao wanaenda shule kwa amani. wanakula maisha. wewe unasema waende gerezan, unaota ndoto za mchana ee??
Maduara ya dhahabu unayajua? mashamba unayafahamu?
 
Habari ya Leo GT.

Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA;
1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini?
a: Kupunguza pressure mtaani
b: Kupunguza mzigo kwa CCM
c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba suala liko mahakamani na huku wao wakichezesha mhimili wa mahakama kwa mlango wa nyuma.

2: Nini kifanyike?
a: Chama kianze harakati zake kama kawaida.
b: Chama kiandae wapambanaji mbadala Kila hatua, ili wakiwakamata waliopo wengine waendelee.

c: Tuwe tayari wote kwenda gerezani, isiwe suala la Lissu peke yake kuwa gerezani, kama mikoa yote tuna Kesi mahakamani hii itasaidia siyo tu kuonesha ukatili wa CCM kupitia mahakama Bali itasaidia kuhuisha Ari na mapambano ya kweli, Africa kusini hakwenda Mandela peke yake. Mapambano lazima yaendelee NRNE.

d: Tupunguze kulia lia, ndo Maana Lissu anatuuliza Kila siku "Mimi sijachoka nyinyi mmechoka?" anaona kabisa hatuna Ari ya mapambano, nani aliwaambia vitani akifa kamanda Ari ya mapambano inakufa? Ari ndo inazidi kuongezeka! Ndg Heche toa mwongozo kwenye mabaraza yote ya Chama, VIONGOZI wa Kanda na wote katika mikoa Yao mashambulizi yaendelee, acha kulia lia na mahakama.

e: Punguza mahudhurio ya Mahakama! anza kuchora ramani ya mapambano kuna kina Heche wa Tarime, tuna wapambanaji wa songea kule, tuna wapambanaji wa Arusha, Dodoma, tuna wakiki Matata, Lema arudi field nk, haki haiombwi inapambaniwa.

f: Tusiwafundishe wanachama unyoge na kulia lia, ndo maana Lissu alitamka wazi mahakamani mjiandae nikitoka tunarudi barabarani. Mlisema mtafanya siasa ngumu, inawezekanaje kiongozi katekwa hakuna amsha amsha? mnalia Lia kama uongozi uliopita? Tunataka nchi yote iwe kama Wamasai, huwaoni wakilalamika mtandaoni ila wako organized unawakuta wamekusanyika elfu 40 wanadai haki Yao.

Sasa tunatakiwa tumdai Lissu aachiwe kwa maandamano nchi nzima na mikoa yote, tunataka reform kwa maandamano yasiyokama huku wanachama wakishikilia majani mikononi na sime kiunoni kama ishara yakuwa tayari kwa mapambano. Kama kweli viongozi wa serikali ya mitaa hawakuchaguliwa basi wananchi wawe tayari kuwaotoa madarakani wakakusanyike Dodoma huko.

g: Ni muda wakuchagua mitume nakuwaosha miguu. nimemtumia huo mfano wa alichofanya Yesu, sasa basi mpaka muda huu tunawajua wapambanaji gani wawe front line na field wawe kina nani. Waite mikoa yote au pita Kanda zote waoshe miguu yaani wape mamlaka na wawe tayari kwa utii na wawe tayari kwa kiapo kuwa kwa damu ya wapambanaji wenzao walioanguka udongoni ( Ali Kibao, na wenzake, ) hawatasaliti mapambano iwe ni kiapo.

h: Viongozi wa matawi na shina hadi ngazi watengeneze mtandao wa mawasiliano wawe wanaweza kuwasiliana nakukusanyika kwa ghafla na very surprised, ili watesi wakute nchi nzima tumekutana na tunadai kitu kimoja, fikiria kina Bibi Titi waliwezaje kuwa organize watu na mikutano ikafanyika kipindi ambacho barabara ni mbovu mitaa iko mbali mbali, hakuna simu.

Je, nyinyi mnashindwa nini kuorganize wafuasi? Acheni kulia lia na mahakama ni upbavu kwenda kulia lia kwa CCM. wewe unajua kabisa huyu jaji ni WA Mchongo, wachieni nawakili waendelee naye sisi huku field kiwake yaani hamasa iwe kubwa. Yaani sasa hivi ni kama tunamsuburi Lissu atoke ndo vibration ianze!

Na shuka Jukwaani, nimekosa usingizi harakati zinachemka kifuani....
Amani haiji ila kwa ncha ya upanga,Wahenga waliyaona zamani.CHADEMA amkeni amkeni amkeni hata mkinyenyekea ikifika sioku ya kufa mtakufa tu.Heri kufa kiume kuliko kufa kinyonge.Na hata mitume wa Yesu walikufa kishujaa ndiyo maana Injili inahubiriwa Ulimwenguni kote baada ya kuivunja minyororo ya shetani.CHADEMA vunjeni minyororo ya CCM kwa kupigana,kuandamana na ikibidi kufa kwa ajili ya haki,uhuru na mshikamano wa Tanganyika.
 
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.
Unataka wapigane vita na policcm ndiyo ujue kuwa wana mikakati madhubuti?
 
Tundu Lissu alitumia nguvu nyingi kupata uongozi wa Chadema kwa hila na kashfa dhidi ya Mbowe. Lakini Lissu na Heche hawana MIKAKATI ya kuijenga CHADEMA.
Huyu mtu Mbowe ilikuwa halali akataliwe. Ni mtu wenu huyo halafu mlitaka aendelee tu kuwa Mwenyekiti wa Chadema?
 
Attachments

  • 1000046826.jpg
    1000046826.jpg
    44.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom