Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama.

Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili.

Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.

View attachment 2035389
Anaeamini wewe ni CDM nampa pole san masikini!! Hajui kua ww ni Lumumba FC Do or Die 🤣🤣🤣
 
Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama.

Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili.

Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.

View attachment 2035389
CCM HAWATEGEMEI SANDUKU LA KURA, TISS na Polisi ndo sanduku lao la kura.
 
Shida yenu you don't have agenda. Na mlikuwa mnaponda sana kipenzi cha wananchi. So na nyinyi mnaonekana wasaliti. Labda mbadili gia angani na mtembelee mistari ya MagufuliJP. Hata kura yangu mtapata.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Agenda za CCM mwaka 2019 kwamba serikali za mitaa iwe kijani tu, Wakurugenzi wanakimbia fomu za WAPINZANI, na ikawa hivyo. Agenda ya CCM uchaguzi mkuu 2020 wawe na bunge la kijani, Wakurugenzi wanakimbia fomu za WAPINZANI, na ikawa hivyo, wakasahau bunge wanatakiwa wapinzani wawemo, wakanunua COVID 19 KINYUME Cha Sheria! na wamo KINYUME Cha Sheria! Agenda za CCM ni uvunjaji wa katiba, sanduku la kura haliheshimiwi, CCM wanategemea TISS na Polisi ndo sanduku lao la kura.
 
Back
Top Bottom