The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,143
Habari ndugu wanajukwaa..
Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali Wakijikosha kwenye majukwaa..
Kiukweli kwa Heshima ya Watu waliomwaga damu,jasho zao na nguvu Lai inafaa kabisa Serikali iitambue Siku ya Mashujaa kama Public Holiday Ili kuenzi mchango wao Kwa Taifa..
Ni jambo la kushangaza eti siku ya maonyesho ya biashara na wakulima yaani sabasaba na Nanenane zinatambulika kama public Holiday na sio Siku ya Mashujaa..
Wahusika wafanyie Kazi.