Dogo kwa heri, umechukuwa uamuzi mzuri kuliko kujichanganya ni bora ujikite kwanza kwenye masomo.
Mi nilijua unaenda mbinguni . Au unaenda kusomea mazingaombwe ?
I'll miss you kule JF IT and technology (or whatever the name ya lile jukwaa).
Tafuta hata sim ya mchina basi...
I am sure utakutana na watu wengine huko and they will be part of your lif pia.
All the best.
Si ya kuingina JF mobile?I will miss you too mwali wangu. Sasa nitafute simu ya mchina kwa ajili gani?
masomo mema mwaya. nitakuja kukutembelea hapo malimbe
Si ya kuingina JF mobile?
Jf haiwezi kufa,masomo mema
Thank you. Hapo bold I am humbled (source : Somo wangu).Hiyo sia tatizo Mwali. usijali nitakuwa naingia kwa ajili kuila utakaponihitaji. I will always be there for you
Hi Kabakabana, umeshindaje leo?Jf haiwezi kufa,masomo mema
Thank you. Hapo bold I am humbled (source : Somo wangu).
Mkuu kuna JF mobile..au na simu hautumii? unaenda kusoma wapi? Poland?
Kuna vyuo vya uganga wa kienyeji viko porini huko network haipo
Jf haiwezi kufa,masomo mema
kweli mkuu. angesema anaenda masomoni so atakua anapatikana kwa nadra sio kimwili tuko mbalu kiroho tupo pamoja. hapo anapoenda atamkuta mwana jf pia. wapo wengi humu wapo sehemu tofauti duniani lakini kila siku wapo chit chat. labda anaenda mwezini. mkuu nakutakia kila la kheri huko uendako. mia