Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #81
kasome mkuu,
usisahau kusomea lile somo la mgomo eeeh.
Somo la mgomo ndio somo gani hilo mkuu>??
kasome mkuu,
usisahau kusomea lile somo la mgomo eeeh.
Wewe mchawi nini?? Umejuaje kama niliwahi kusoma hapo?
all the best
kumbe ulishamalizaga,wasalimie huko uendako ivi karibuni
Kongosho is this you?????Young Master
Napenda sana watu wanaojua 'capability zao' kama wewe
Na wanajua kuset priorities
Stick na mpango wako, jf ipo tu. Big Up.
Kongosho is this you?????
wapi avatar yako ile ya zamani? I love it so much!
Anyway, tutazowea hata hii... but I liked the other more.
And a new signature too... making over?
Hapana...Naenda kusomea jinsi ya kuendesha ungo
Young Master
Napenda sana watu wanaojua 'capability zao' kama wewe
Na wanajua kuset priorities
Stick na mpango wako, jf ipo tu. Big Up.
all the best YM.
Hi Kabakabana, umeshindaje leo?
kabakabana nakupenda. hujambo?. Mia
Asante. Najua haiwezi kufa nilikuwa natania tu
Masomo mema.
una matani hatarishi.usome uje kuwa waziri mkuu.
Asante sana dada Fiaza. sijui wewe ni dada au mama ila mimi nitakuita dada kwa heshima yako
Sina mpango wa kuwa waziri mkuu au kiongozi yeyote wa serikali. My dream is to be the best IT TECHNICIAN and to provide what is best