Kwa heri CCM

Ofcourse multiple ID's ili ujenge hoja will continue to be a crap!!!!!! Hahaha ahahaha ahahaha ahahahahah!!!!!!!!!!! Face lift bro!!!!!!!!!

Mwizi huwa anaona kila mtu ni mwizi pia! Sikushangai..
 
Hii kama siyo mkakati Mpya wa magamba kuwaingiza imposters kwa mahasimu wao; basi ni kama wale mabalozi wa nyumba 10, wameona upepo after lgunga downfall!
 
Kafie mbali..hukuwa hata mmoja wetu

Wewe hata namba ya simu ya Mukama sijui kama unayo. Huna mikakati na umekalia kushindana na ukweli. Kwa taarifa yako nchango wangu kwa CCM ulikuwa mkubwa kuliko hata wa bwanako Nape.
 
Duh! kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!
 
Wewe hata namba ya simu ya Mukama sijui kama unayo. Huna mikakati na umekalia kushindana na ukweli. Kwa taarifa yako nchango wangu kwa CCM ulikuwa mkubwa kuliko hata wa bwanako Nape.
Utachekwa..who is Mukama? unazidi kujidhihirisha kwa watu ni kwa jinsi gani ulivyo mweupe! Kwanza I can't urge with fools.
 
Sema 'you can't argue with a fool'. Then who falls within fools zone? A pixilated sycophant who buttresses unfamiliar ideologies or a genuine revolutionist who fights hard to seize back his country from mouths of mammonic politicians?
 
Nimewajumuisha wote pamoja..watu of ur type wanafiki, wasioolewa chochote kuhusu hii nchi, wanaojidai wana machungu sana, wapo wengi sana. Hao viongozi wa upinzani wanaojidai wanapenda sana kuserve wananchi, wanafight for their political ambitions! Wengi ni looserz ndani ya CCM ndio wakakimbilia Upinzani.

Na wewe kama kweli ulikuwa mmoja wetu (though naamini kuwa u were nobody), kitendo cha kukimbia umejiweka kwenye kundi la loserz!
 
Acha mikwara hata ukimbiwa na mke wako ghafla lazima uchanganyikiwe kidogo natumaini utatulia tu baada ya Mwita25 kumwaga masiri yenu hapa jamvini. Mla mla leo bana mla jana kala nini!
 
Wewe hata namba ya simu ya Mukama sijui kama unayo. Huna mikakati na umekalia kushindana na ukweli. Kwa taarifa yako nchango wangu kwa CCM ulikuwa mkubwa kuliko hata wa bwanako Nape.
Na bado nadhani utawavulumushia makombora hadi wapagawe!
 
Sema 'you can't argue with a fool'. Then who falls within fools zone? A pixilated sycophant who buttresses unfamiliar ideologies or a genuine revolutionist who fights hard to seize back his country from mouths of mammonic politicians?

da! Mimi nimeanza kuamini huyu ni mwita25 baada ya kuona hiki kiinglishi,karibu sana CHADEMA.ukweli utasimama daima.NAPE NI ZUZU..YEYE NA MABOSI WAKE,BORA UMEWAKIMBIA.karibu.
 
Back
Top Bottom