Kwa heri CCM

Mkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Hasira za kutukanwa?pole follow your heart
 
Mkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Pole kwa kutukanwa! Ni wewe kweli? Mi bado siamini walah tena!
 
Yote kwa yote,tunakupa muda ili tuone michango yako kama imebadilika, halafu hebu weka wazi uovu wa Nape zaidi tumjue huyu jamaa na mbinu zake kama kweli ineokoka na jinamizi la Magamba.
Hata mimi siamini...
 
Tafadhali Invisible hebu angalieni labda kuna mtu kaiba password ya Mwita25....
 
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Wewe umeugundua lini huo umuhimu wa Slaa?
 
Mkuu kina thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!

rejao,ff,ritz,topical,jeykey na atiwm 52 mko wapi,twahitaji kauli zenu
 
Usije kutuletea hadithi za Nape, ukaja baadaye kukanusha kuwa sio wewe uliyoyasema au Yaandika haya tunayoyasoma. Maana nyie magamba kwa kukanusha mnaongoza hata kama kuna kweli mtaupindisha. I dont trust Magamba kama nisivyo i-trust Bakwata
 
Kama kweli anayeaga CCM ni Mwita25, na kama kweli sababu ya kujiondoa CCM basi Mwita25, bado ni CCM, Nape kamtukana matusi ya nguoni kesho Mkama atamwita Mwita25, na atampoza.

Kitu nimejifunza kutoka kwa Mwita25 na MS ni kuwa wakereketwa wengi na wapenzi wa CCM wako humo kwa maslahi binafsi na kusukumwa na uzalendo kwa nchi yao.
 
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!
Muraaa!!!!kwa kweli hakuna siku najisikia raha km leo kuona hatimae leo umeanza kuona ukweli nakujivua gamba.Mimi ni mkurya naelewa kabisa kuwa unachoongea kimetoka rohoni,hatuna asili ya unafiki.Mura karibu sana kenye mapambano ya kuwakomboa Watanzania wanyonge.
 
Mmmh!! Siamini kabisa kama ni Mwita25....
Mods. password zinaibiwa.....!!
 
Mwita25 akijisahau anatoa point.
Mungu mbariki aendelee hivihivi.
 
Hii habari sidhani kama ni ya kweli, na hata kama ya kweli basi hata huko unakokwenda hautakuwa mwanachama mzuri, zaidi ya maslahi ambayo ulikuwa unayategemea kutoka unakotoka
 
hatukutaki chadema,usijipendekeze.....nenda kaanzishe chama chako mwita and mama rhobi political party,umwage mapumba yako
 
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!

Ni wewe kweli ninaye kujua humu au ni mwingine?
 
Mkuu kuna thread moja inazungumzia Slaa kukimbia mdahalo, nimewaeleza jinsi Slaa alivyo muhimu kuliko hiyo midahalo yao ya kujiingizia vijisenti. Nimempigia Nape na Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma lakini wamenitukana matusi ya nguoni. Hii haizuii uamuzi wangu wa kukubaliana na ukweli badala ya kushindana na ukweli!

Eeh nane nane nane nane naneeeee. Yesuuuu kristu na maria i cant believe this. Mwita25 kujiunga peoples power. Kweli wonders will never end
 
Back
Top Bottom