Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.

Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar. Hivi kweli from ethiopia to Eritrea, Djiboutsomalia Egypt and Kenya. Despite ya usalama wa nchi husika.

Je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la Addis Abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.

Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
Mkuu binafsi ninahamu sana ya kuona mambo hayo yakitendeka ndani ya utawala wake ndio nitaamini kwamba kumbe inawezekana.
Vingivyo makaratasi hayo yatabaki katika jumba la makumbusho.
 
Well said mkuu, kwa bahati mbaya baadhi ya Watanzania wako hivyo, kwao kila kitu akisemacho JPJM kina walakini, na ukichunguza kwa umakini utakuta the most vocal ufahamu wao kuhusu masuala ya biashara, teknolojia, utengamano kwao ni sawa sawa na hakuna, wanafikiri Rais kakurupuka tu kutoa tamko - they can't figure out umeme unawezaje kutoka Ethiopia kuja Tanzania and vice versa au Mizigo ya Ethiopia kutoka Bandarini na kusafirishwa kwa Cargo planes kwenda Adis!!
Jaribu kufikiri kidogo, kutoka Djibouti mpaka Addis Ababa ni km 857 na kutoka Dar es salaam hadi Addis Ababa ni km 2370. Ni mfanyabiashara gani aache Djibouti aje bandari salama. Ni wakati wa kusubiri na kuona.
 
Kwa wakazi wa Mbeya hasa Tunduma,wanatumia umeme kutoka Zambia na upo reliable sana kuliko huu wa kwetu lakini swali ni kwamba, kutoka Ethiopia mpaka Daslam ni makilometa mangapi? Kwa nini tusinunue teknolojia na sisi tukaja kuzalisha wa kwetu?
Walikuwa wanatumia zamani and no longer.
 
Kuna long na short plans katika projects za kimaendeleo,hivyo kusainiwa kwa mikataba yawezekana ni long plan katika Afrika ijayo ie 100 years later.

Si vibaya kuanza kutengeneza mazingira wezeshi ya namna ya kuimplement malengo ya siku zijazo.

Shabaha yetu iwe ni kuanza kutafakali kwa weredi na kufanya tafiti ili kushauri vizuri maono ya wakuu wetu.

Si vibaya kujilidhisha kwa maneno,lakini ni vyema wataalamu wetu wakafanya upembuzi yakinifu kwa plans zote na kuja na alternatives mbalimbali.

Tujifunze kushauri kwa kutoa alternatives ways kuliko kuponda na kuacha watu hewani bila majibu.

Hoja za umbali,usalama wa miundombinu,gharama na muda sio tatizo kuweza kupinga moja kwa moja na kama tutapinga IPI ni alternative iliyo bora na rahisi (mfano Umeme wa makaa ya MAWE,gesi,maji,jua,upepo,geothermal,nuclear au vyovyote),wapi ,lini na mahali gani panafaa.
 
Kwahiyo mkurugenzi wa Tanesco atakuwa anaishi Addis Ababa?

Au umeme ukikatika kule Lindi tutapiga simu Addis Ababa

Au nguzo ya umeme ikianguka kule naivasha hadi tutume mafund
Mbona ni biashara ya kawaida kabisa, Watu wanasafirisha umeme toka bara jingine sembuse wewe Km 7600?
Ushamba au Ujinga ni mzigo kwa kweli, ELIMU ELIMU ELIMU ingewasaidia watu wengi sana
 
kwahiyo wewe ulietukana sio mshamba!!!!!!!!
Wa porini ndo wamezoea matusi

Mbona ni biashara ya kawaida kabisa, Watu wanasafirisha umeme toka bara jingine sembuse wewe Km 7600?
Ushamba au Ujinga ni mzigo kwa kweli, ELIMU ELIMU ELIMU ingewasaidia watu wengi sana
 
Jaribu kufikiri kidogo, kutoka Djibouti mpaka Addis Ababa ni km 857 na kutoka Dar es salaam hadi Addis Ababa ni km 2370. Ni mfanyabiashara gani aache Djibouti aje bandari salama. Ni wakati wa kusubiri na kuona.

Kwa mawazo yako unataka kutwambia Waziri Mkuu wa Ethiopia na Dk.Magufuli hilo hawalijui wamekurupuka tu kufurahisha wananchi?

Hivi umejiuliza inachukua muda gani kusafirisha mzigo by freight trains kutoka bandari ya Djibouti kwenda Adis, na je, Air Cargo planes zinachukua muda gani kutoka uwanja wa ndege wa Dar kwenda Ethiopia? JPJM amesema mizigo itabebwa na ndege za mizigo na siyo malori au freight trains, bila shaka wana sababu za maana kufikia uhamuzi huo - tusijifanye wajuaji kuliko wahusika wenyewe - kumbuka Ethiopia imeanza biashara ya usafiri wa anga tangu 1930s na bado wanadunda kama kawa, watu wenye uzoefu wa zaidi miongo saba awawezi kufanya biashara ambayo hailipi.
 
Itakusaidia sana ukitumia akili yako kufikiria hata kuanzisha mradi wa kuku ili akili ifikiri jinsi ya kuwalisha kuku kila siku..usipoteze muda kufikiria mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako.. ufahamu wa mambo ya biashara, teknolojia, utengamano wewe ni ZERO!
Jamaa ni ziro kama yupi?
88572753ce0c6df85622c50424b581ad.jpg
 
Endelea kusubiri mpaka Yesu arudi
 
Itakusaidia sana ukitumia akili yako kufikiria hata kuanzisha mradi wa kuku ili akili ifikiri jinsi ya kuwalisha kuku kila siku..usipoteze muda kufikiria mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako.. ufahamu wa mambo ya biashara, teknolojia, utengamano wewe ni ZERO!

Mwelimishe
 
Back
Top Bottom