Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

Rais wetu inawezekana hajui Ethiopia iko wapi?? Haiwezekani Ethiopia watumie bandari yetu kwanza kati ya Kenya na Ethiopia hakuna barabara ya uhakika na pia waasi wa ki oromo wanetapakaa
 
Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.

Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar. Hivi kweli from ethiopia to Eritrea, Djiboutsomalia Egypt and Kenya. Despite ya usalama wa nchi husika.

Je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la Addis Abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.

Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
Ethiopia ni nchi kongwe kuanzia watu hadi historia. Sio jambo la ajabu kukuta jamii zenye vizazi sita hadi ishirini wakati hapa kwetu hatuna zenye vizazi hata vinne.

Wao wamefanikiwa kwa sababu ya uzoefu walionao wakati sisi uzoefu pekee tulionao ni wizi na ubinafsi.

Kila mtu anajiwazia yeye pekee as if ataishi milele. Ni vema tukatumia fursa hii kujifunza kwa wenzetu wenye utajiri wa uzoefu.
 
Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.

Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar. Hivi kweli from ethiopia to Eritrea, Djiboutsomalia Egypt and Kenya. Despite ya usalama wa nchi husika.

Je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la Addis Abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.

Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
...only inTZ...alikuja waziri fulani akasema amepata umeme wa bei rahisi kutoka marekani, HATUKUUONA.....akafuata mwingine akasema amepata TEKNOLOJIA ya KUTENGENEZA MVUA, hivyo mabwawa yote yatajaa maji na mgao wa umeme utakuwa historia...mwingine akaja UCHUMI WA GESI na miradi ya KINYEREZI I, II, III hadi sijui KINYEREZI 100...leo umeme wa ETHIOPIA (nadhani huu utakuwa wa bluetooth). Tanzania kama taifa tunahitaji maombi, tena maombi ya kufunga. Ni lazima tukomboe akili zetu maana zimekamatwa zikakamatika. We are dancing a song we don't understand. It seems the devil is at large! Kweli shetani anatuchezea shere.
 
Kati ya majirani wetu wa ovyo na wasio aminika na wenye tamaa ni Wakenya.

Kitu muhimu kama umeme kikipitia nchini mwao mbona watatutesa hawa manyang'au. Watatutesa mpaka tuimbe Poh!

Hivi huo umeme wa Stieglers Gorge project una gharimu kiasi gani kuupata mpaka tushobokee kununua umeme nchi ingine?

Na halafu hiyo itasababisha tusikae tuka tumia maji ya ziwa Victoria maana umeme wa Ethiopia chanzo chake hiyo Victoria. Maji yakipungua naamini yatasababisha upungufu wa umeme
Chanzo cha umeme wa Ethiopi SIYO ZIWA VICTORIA. Ni BLUE NILE.
 
Mh. think inwards but in reality he desperately looking for solutions outwards, unfortunately it only reveals his weaknesses , lack of vision beyond his policy and obsession of controlling wasteful spending, I will give him to that but it is beyond his capacity and it starts costing us big time, what's next?

Nothing! Nothing! Oh well Nothing!

Yaani kwa ufupi mfa maji haachi kutapatapa, umeme toka Ethiopia how colossal expensive would that be??

I must admit, I start feeling sorry for him, I will truly try to help him, the solutions to our grid problems are everywhere right in front of us, keep looking for innovation and let the entrepreneurship and private sectors, which you very much hate
Take it from here?

What do you think?
 
Hii nchi vituko serikali ya CCM si ilikuwa inasema mradi wa umeme wa gas ukikamilika by 2015-2020 tutakuww na uwezo wa kuzalisha umeme wa zaidi ya megawati 3000 na kwanba sisi ndio tutauza
 
Tanzania ina Accumulation ya Energy sana sana Tuna Maeneo mazuri sana kwa ajili ya hydroelectric power station, Gesi ipo ya kufulia Umeme bado haitoshi singida huko tunaweza vuna upepo kupitia Windmill generator na Kupata Umeme mwingi kiuhalisia kabisa sisi ndio tulipaswa kuuza umeme nje na sio kununua
Prof Mark mwandosya wewe una PHD ya Umeme Tunakuomba busara zako uzitumie kushauri uongozi na kuwajuzi kuwa hili ni swala la aibu mno mno
 
Kweli akili za watanzania ni hovyo kuna watu wanamtetea rais kwa uamuzi wake wa kununua umeme kutoka ethiopia,kwa nini tusijiulize haya
1.Katika sera ya serikali ya CCM ilituaminisha kuwa nara mradi wa gas utakapoisha tutazalisha zaidi ya megawati 3000 ziko wapi hizo megawati????
2. Kuna muda mwingine hatupo makini miradi mingi ya umeme imisha anzishwa hapa nchini miradi hiyo uite iko wapi na mbaya zaidi imetumia fedha nyingi sana
3.Hivi kweli tanzania ni ya kununua umemr ethiopia pamoja na vyanzo lukuki tulivyonavyo tunazidiwana ethiopia ambayo ni nchi ya ukame,mradi wa umeme wa ethiopia wanatumia maji ya mto naili ambayo maji yake yanatoka ziwa victoria.eneo kubwa la ziwa victoria karibu 3/4 lipo tanzania-kwa kweli haya ni maigizo
4. Tukirudi kiuchumi-unawezaje kuendesha nchi ya viwanda kwa umeme wa kununua
 
Achana na hao vibaraka wa wazungu mtambo wa umeme wa Richmond ukibebwa toka marekani kilomita zaidi ya laki moja kuja kutuibia hapa wanaona sawa lakini kuletewa umeme toka Ethiopia kilometa zisizozidi 5000 sio sawa. Mkuu hao wanaopinga ni vibaka na mawakili wa vibaka usipoteze nao muda
Swali ni kwa nini ununue umeme ethiopia huku wewe una vyanzo lukuki vya umeme-mradi wa umeme wa ethipia ulianza kwa kukopa pesa nadhani ilikuwa bank ya dunia kws nini na sisi tusifanye hivyo???
 
Ukisemacho ni sawa.hebu tujiulize nikipi kilichowawezesha ethiopia kuweza kujenga hilo dam from blue nile.pamoja na kupata vikwazo kibao kutoka kwa Egypt.lakini wakaendelea tu.
Ukilinganisha na sisi ambao jiografia inanaturuhusu kwa kuwa na mito mingi tu ya maporomoko ukiachilia mbali vyazo vingine vya nnishatihili jambo mimi nadhani ni uthubutu tu.tujenge yetu kwa manufaa hata ya kizazi cha tatu.

Mkuu ktk nia nzuri ya kumsaidia Mh. Ktk ujenzi wa taifa nitakupatia stori ya kisiwa kimoja huko Scotland, ni vipi wameweza kupambana na tatizo la umeme, Na njia gani wametumia mpaka kufanikiwa kuzalisha umeme wao nje ya national grid supply yaani kama hii yetu Tanesco kwa kutumia renewable energy.

Eigg ni kisiwa kidogo chenye wakazi wasiozidi 150, yenye eneo za mraba zisizozidi 30, wakazi wa kijiji hiki kwa ushirikiano wao binafsi wameweza kuliondoa tatizo la umeme kwa zaidi ya asilimia 95.

Hawa wanakijiji wameunda kampuni yao binafsi ya kutengeneza umeme kwa kutumia vitu amabvyo sio vingeni kwetu, Jua, upepo na maji au renewable energy to be precise.

Kumbuka kwamba hicho kijiji utokaji wa jua ni mdogo sana kwa mwaka mara nyingi ni wakati wa kiangazi kwa muda wa miezi isiozidi mitatu, upepo wao haufikii wa Tanzania Na mito yao sio yenye ukubwa Na nguvu kama yetu sisi hapa Tanzania. Lakini wameweza kudunduliza umeme kutoka sources zote tatu, Yaani jua, maji Na upepo wakauingiza kwenye community grid Na Kusambaza kwa wakazi Na biashara zao, kwa bei ya chini kabisa.

Watu wa nchi mbali mbali wameshapitia kwenye hichi kisiwa kutaka kufahamu, how they did it, Yaani mpaka Malawi imeshapeleka team Scotland kufanya preliminary studies and fact findings, Yaani Mh. hii Malawi inatupiga bao la mkono siku zote. Lol

Sasa tuje kwa upande wetu,

Naelewa wazi kwa Tz, pesa ya kufanya yote haya hatuna lakini kama serikali itakua smart and willing to innovate, wanaweza kuanzisha hata pilot system on renewable energy in partnership Na private sectors, finding strategic village somewhere ukiondoa chato, lol, and do the right thing, i.e. Community grid of some sort, replicating what's these villagers did in solving their problems, and do exact the same to one of our village by self financing, charging the community at subsidised rate.

In this way once successfully, we will encourage private sectors to enter in some sort of partnership with the government in doing the same for other places.

There is no harm trying Mh.

Second solution, and this can be done now! Let the hybrid technology go mainstream, i.e. Combination of both, electricity generated using solar panels in our roof tops and that coming from the national grid, i.e. tanesco.

The government can help by zero rated on VAT and import charges for a certain period of time to encourage the residents particularly from urban areas to go hybrid.

Tanesco can be given the outright monopoly for now, only for now! I insist, until the understanding of the technology become main stream, regulating technological competency through training and after service sales, this way will create more businesses and encourage innovations.

Allowing colleges with subsidised cost by providing tax incentives to teach our children on renewable energy technologies, in order to make us competency, innovative and renewable in some sort.

You never know, we might have our own wind turbine industry, si ndio sera za Mh, viwanda viwanda, and we will start selling the technology and know how to neighbouring countries.

Mh. Nakuomba uwaalike maintenance team ya community electricity grid kutoka Kisiwa cha Eigg Scotland, ambapo wako watatu mmoja muuza mikate, mmoja mfumaji Na mwengine analima bustani. Hawa watatufunza kitu, achana Na Ethiopia, majibu ya matatizo ya umeme yako nje ya magogoni Na upepo huo.

Halafu yale mahela ya maboeing ahirisha ununuzi, finance hii project ukisaidiana na wanakijiji wa Eigg Scotland.

The small Scottish isle leading the world in electricity
 
Swali ni kwa nini ununue umeme ethiopia huku wewe una vyanzo lukuki vya umeme-mradi wa umeme wa ethipia ulianza kwa kukopa pesa nadhani ilikuwa bank ya dunia kws nini na sisi tusifanye hivyo???
Kuna kitu hukielewi na Uƙawa hawaelewi vƴanzo vƴa nishati ni vitu vƴa usalama wa taifa huwezi kuvimaliza vƴote sasa hata kama vipo kwa saɓaɓu zifuatazo moja si haƙi kwa kizazi kilichopo ƙutumia vyanzo vƴote ɓila kuachia vizazi vijavƴo watakuwa wageni wa nani kununua pia kunasaidia kuɓaƙiza vƴanzo vingine ƙwa ajili ƴs vizazi vijavƴo nɗio maana mareƙani wana mafuta lakini hununua pamoja na ƙuwa na vƴanzo lakini pia humalizi vƴote ikitoƙea ƙuna shida ƴs vita.kuweƙewa vikwazo nk unatumia vƴaƙo.saɓaɓu ingine ni ƴa kiuchumi ƙama kulima shamɓa laƙo kupata chaƙula ƙunakuwa.gharama kuɓwa kuliƙo kununua ɗuka la mangi inaacha kulima unaenɗa nunua ɗukani kwa mangi
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom