Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Kwaiyo Kigoma imeathirika zaidi kwa Corona kuliko Dar ilipochezwa Darby ya kwanza?,hizi ramli zilishagonga mwamba tangia wimbi la kwanza mpaka hili la tatu.
Corona ipo ndio lakini sio lazima kutabiriana mabaya kwenye hili gonjwa.
 
"Utakuja,Mtajuta, Tutaokota miwili barabarani, Mmelogwa,Mmepumbazwa na mwendazake," - hizi kauli zinafikirisha Kweli..

NB. The delta variant isn't more deadly but is more infectious.
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Wamepiga marufuku misongamano isiyo ya lazima (hasahasa ya wapinzani) ila misongamano ya lazima (zikiwemo ziara za viongozi wa CCM, michezo, n.k) ni ruksa kwa kuwa hakuna maambukizi ya UVIKO - 19.
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Euro ulikua unafuatilia?
 
Kwenda uwanjani kuangalia mechi ya mpira ni mkusanyiko wa lazima. Kwa hiyo ruksa kwenda. Kwenda ukumbini ambapo social distancing na uvaaji wa barakoa unazingatiwa ili kushiriki kongamano la kudai katiba si mkusanyiko wa lazima kwa hiyo polisi wanazuia!
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani

Kama huna magonjwa mengine, corona haina Shida kwa umri wa Vijana wa Kitanzania. Pima afya yako.
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Watu ni wabishi na wagumu kuelewa.
 
Siku hizi raha sana, watu tunajimwayamwaya tunavyotaka. Zamani ilikua mtu hawezi kuzungumzia mambo ya Covid19.
 
Mungu anailinda Tanzania, hayo unayoyaomba hayatatokea kamwe.

Nikukumbushe kuwa kiongozi wa chama chako unachoshabikia aliwahi kuwakataza wabunge wa chama chake wasihudhurie katika lile bunge la bajeti mwaka 2020 kwa sababu alibet hivyo hivyo kuwa kuna wabunge watakufa kwa corona. Matokeo yake hakuna mbunge aliyekufa na pia baadhi ya wabunge wa chama chake walimgomea na kuhudhuria na kwa hasira akaamua kuwafukuza uanachama, hata hivyo matarajiio yake yalibackfire.

Endelea kupiga kelele hapa jf lakini maisha yanasonga mbele bila hizo alinacha zenu kutimia.
 
Baada ya muda tukijakuulizana hivyo vifo utasikia mara sijui wanaokufa ni asilimia 5 tu mara sijui wanaoathirika ni wazee sijui Tanzania vijana wengi kuliko wazee mara sijui hakuna takwimu, yani kila sababu.
 
Kama Ulaya wanakusanyika bila hata barakoa, sasa ujinga gani uliowafanya mkazuia Kongamano la CHADEMA kwa madai ya Korona? young man stop contradicting yourself
Mbowe alizuia watu wasiende kwenye msiba wa kaka yake kwa sababu ya corona na akauambia umma kaka yake amefariki kwa corona niliposhangaa alizuia watu msibani ila kongamano la katiba ruksa hii imekaaje mkuu huu si ugaidi kabisa
 
Yeah ni Ugaidi kama ukiwa na akili za kipuuzi kama zako, tunazungumzia National Interest wewe unaongea ujinga
 
Mungu anailinda Tanzania, hayo unayoyaomba hayatatokea kamwe.

Nikukumbushe kuwa kiongozi wa chama chako unachoshabikia aliwahi kuwakataza wabunge wa chama chake wasihudhurie katika lile bunge la bajeti mwaka 2020 kwa sababu alibet hivyo hivyo kuwa kuna wabunge watakufa kwa corona. Matokeo yake hakuna mbunge aliyekufa na pia baadhi ya wabunge wa chama chake walimgomea na kuhudhuria na kwa hasira akaamua kuwafukuza uanachama, hata hivyo matarajiio yake yalibackfire.

Endelea kupiga kelele hapa jf lakini maisha yanasonga mbele bila hizo alinacha zenu kutimia.
Huu nauitaga ujinga na upunguani was baadhi ya Proccm! Waliokusanyika Kigoma ni Watz sio sana Chadema. Nyie ni wajinga. Kila kitu mnaweka siasa, pumbavu
 
Siku hizi raha sana, watu tunajimwayamwaya tunavyotaka. Zamani ilikua mtu hawezi kuzungumzia mambo ya Covid19.
Sijawahi kuacha kuzungumza, tena ndio kipindi hicho Account yangu ikawa Verified
 
Back
Top Bottom