kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

Airtel wana vifurushi vizuri vya kwenda mitandao yote ila speed ya internet yao ni awful. Tigo ni wezi, wanakupa dk say 15 wanazodai "kwenda mitandao yote" wakati dk 12 ni za tigo-tigo na dk 3 kwenda mitandao yote! Huu ni udanganyifu -------! Airtel ukichagua kwenda mitandao yote hawana limitation za kipuuzi km za tigo!
 
Hizo dakika za vodacom ni za kupiga mitandao yote? Vodacom wezi wanakupa dakika 40 za kupiga voda to voda kisha wanakupa sekunde 50 za kupiga mitandao mingine so lazima itabid ununue tena kama unawasiliana na watu wa mitandao mingine! Network mbovu! Unapiga simu inakua haipatikan wakat yuko hewani, unatuma text zinakua pending!! Hovyo! Wanaturudisha kule tulikotoka kwenye kila line ipige kwenye network yake! Mara siku nyingine wanakata tu hela kwenye simu! Ni wezi kwa ujumla!

Kwangu mimi kwa sasa Airtel is the best! It is the cheapest for now, kwa mwenye line moja ya simu atajua ninaloongelea! Internet ya Airtel ndo bomu!

Kwa internet nzuri inaongoza Zantel! Fast and reliable!
 
Bob Lee Swagger
.
Na network itazidi tu kuwa slow
.
Kwa vi ofa ofa kama hivi mana network ita zid kuwa overloaded
.
Si uliona siku ile mwaka mpya
.
Yaaani text haziendi kabisa
.
Sasa na hizi dakika 40 tutegemee mtandao kuzid kuwa slow ktk sms na calls
.
.
 
Last edited by a moderator:
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik *149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa Lao???
.
WAkati sizani kama kuna mtu anaeweza kumaliza sms 1000 kwa siku moja????
.
Au kuna addicted kama hawa?????
.
.

Ndg hyo ya Vodacom n promotion ya weekend hii jaribu j3 uone utapata dk ngapi
 
Kama unataka kununua modem yao ya CDMA na wewe ni heavy downloader ujue imekula kwako maana download speed hata kwa dawa haifiki 200KB/s yaani maximum ni 150KB/s labda kwa kusurf speed iko murua

Ila pia 3G ya line za GSM wako poa sana hiyo unawezafika 700kB/s-2MB/s mm ndo natumia hii ningekuwa kwenye pc ningekuwekea picha...na streAm video bomba tu

na vifurushi(dk. ,mb,sms) vyao vya mwezi/wiki vkoje.?
 
Airtel wana vifurushi vizuri vya kwenda mitandao yote ila speed ya internet yao ni awful. Tigo ni wezi, wanakupa dk say 15 wanazodai "kwenda mitandao yote" wakati dk 12 ni za tigo-tigo na dk 3 kwenda mitandao yote! Huu ni udanganyifu -------! Airtel ukichagua kwenda mitandao yote hawana limitation za kipuuzi km za tigo!

nilihama airtel kwasababu ya speed yao mbovu ya net..
 
Duh!! Airtel yatosha bwana, usiku naona wanaacha unapata internet ya buuuuuure kabsaaa. Good job!!!

Stuck on you airtel.

.
Una surf usiku bure ?????
.
Wenzako wamekuwekea 100MB saizi yaaani kutoka 200MB
.
Sasa tuache kuwaibia tu kwa vpn
.
.
 
naipenda airtel ,naitumia kwa simu,lakin voda ni zaid, sababu wana option yakununua bandle kwa simu nyingine,hivyo nimejikuta kwenye ipad ,lazima nitumie voda.

Airtel si wabunifu ,wameshindwa kujua umuhim wa kuweka hyo option.

nenda hapa,*149*99# halafu chagua 4 uone mambo.hakika airtel ni zaidi ya mababa.
 
baba lao ni zantel wengine wanaiga iga tu.

sh 800 unapata dakika 40 za mitandao yote, mb500 na sms 500 na mms 100

Kwani hii ni ya siku ngapi? Maana nlishajiunga na kifurushi cha jero intenet ikawa very slow!! BTW zantel wana 3g intenet ya kwenye simu?
 
Kwani hii ni ya siku ngapi? Maana nlishajiunga na kifurushi cha jero intenet ikawa very slow!! BTW zantel wana 3g intenet ya kwenye simu?

siku moja,
wana 3g kwa dar tu mikoani hakuna.
speed yao ya gsm ni nzuri dar ila cdma ndio ya kawaida.

hata kifurushi chao cha 500 ni kizuri kuliko wote maana unapata mb 125 na dakika 25 kwenda mitandao yote.
 
Ipo hata mikoani kiongozi......
.
.
 
Airtel wana vifurushi vizuri vya kwenda mitandao yote ila speed ya internet yao ni awful. Tigo ni wezi, wanakupa dk say 15 wanazodai "kwenda mitandao yote" wakati dk 12 ni za tigo-tigo na dk 3 kwenda mitandao yote! Huu ni udanganyifu -------! Airtel ukichagua kwenda mitandao yote hawana limitation za kipuuzi km za tigo!

Inategemea na ulipo labda mkuu.. mi niko dar na Katika mitandao ninayo enjoy ni Airtel. Voda wanaspeed Ila wezi na bando zao ndogo... Airtel wanaspeed na mtandao haukati kati.
 
.
Mfano mzuri
.
Ni airtel
.
Et
25mb = 1800/=
150mb = 2900/=
250mb = 11500/=
500mb = 13800/=
1gb = 17200/=
.
Sasa ndo nn hapo wakati unapata mb 300 kwa kifurushi cha 499 ma dakika na ma sms kibao .......
.
angalia time factor, hiyo ya sh 499 ni kwa siku moja(24 hrs) wakati hivyo vya hapo juu havina deadline....ie unaweza nunua hizo mb 300 kama hujatumia ndani ya 24 hrs bando linakuwa limechacha....
 
Airtel zaidi kwa sababu ya hiyo 300mb. Whatsup natumia zaidi ya sms. 300mb ndio inausika sasa. Jamii forum

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
angalia time factor, hiyo ya sh 499 ni kwa siku moja(24 hrs) wakati hivyo vya hapo juu havina deadline....ie unaweza nunua hizo mb 300 kama hujatumia ndani ya 24 hrs bando linakuwa limechacha....

.
Mbona ni akili ya kitoto sana inayo hitajika kufikiria kwa hapa...
.
Yaani mi nijiunge kwa mwezi 9999 nipate 1gb sms 2000 na dakika 300
.
Alafu wew ujiunge bundle tu la mwezi 1gb kwa 17200
.
Nani kafaidika
.
 
Back
Top Bottom