Nimejiunga kifurushi voda, hakijakaa hata lisaa washakata chote, nataka niwaburuze mahakamani kwa wizi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,624
2,000
Jihadharini na vodacom

Leo usijiroge ukajiunga wanafyeka chote wizi mtupu

Nimejiunga lisaa moja lililopita

Hongera! Umepata dk 100 kupiga simu mitandao yote, MB1024 za kufurahia inatentiSMS 100 kwa saa24.Piga *149*60# kujua salio.

Nikasema nishajiunga nikaingia fb kidogo tu nikaona wacha nizime data nifanye mambo mengine, nikazima data simu nikaichomeka kwenye chaji kuichaji baada ya lisaa nimerudi tu nawasha data nakutana na hii msg

Ndugu mteja, MB za Kifurushi cha Cheka Tsh.1000 zimekwisha. Kununua kifurushi kingine tafadhali piga *149*01. Ahsante kwa kuchagua Vodacom!

Nimebaki nimeduwaaa maana hata sijaingia zaidi ya fb kwa dakika chache tu na sijawatch video yoyote, wala sijadownload chochote wala sikua na app zinazojiapdate wala chochote sijatumia cha ajabu wamefyeka zote, nilikua sidhani kama hawa wanaiba nilidhani ni stor huu ni wizi tena wizi mbaya!

Nampigia customer care wao analeta majibu mepesi mara tutashughulikia ndani ya masaa 24 utakua umepata majibu.

Natamani niwaburuze mahakamani!
 
KMMS

Senior Member
Jan 24, 2017
176
500
Wakati Mwingine Hatujui,Kuna Apps Zina -Run Background Bila Sisi Kujua,Utakuta Umejiunga Bundle Sawa,Ila Instagram, Facebook, Twitter, Youtube,Search Browser Kama Firefox,Google nk Tellegram,,JForum, na Other Apps Zinarun Background,At the end Tunawasukumizia Mzigo.
Ipo Haja Watu Kuwa Na Hi Elimu Ili Kuepuka Matumzi ya Data Bila Mpangilio Maalum.

Na The Way Strong Network Inavyokua Eg 3g or 4g Katika Matumizi ndivyo Data Inavyomegwa.

Sina Maana ya Kutengua Kauli Yako Ila Kukumbushana Pia Kama Kuna Hilo.

Samahani Kama Nitakuwa Nje ya Mada.
Pole kwa Tatizo Lililokukuta Mdau.
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,624
2,000
Najua unalolisema lakini sina app inarun background hata itafune gb nzma ndani ya dk 57 tu
Wakati Mwingine Hatujui,Kuna Apps Zina -Run Background Bila Sisi Kujua,Utakuta Umejiunga Bundle Sawa,Ila Instagram, Facebook, Twitter, Youtube,Search Browser Kama Firefox,Google nk Tellegram,,JForum, na Other Apps Zinarun Background,At the end Tunawasukumizia Mzigo.
Ipo Haja Watu Kuwa Na Hi Elimu Ili Kuepuka Matumzi ya Data Bila Mpangilio Maalum.

Na The Way Strong Network Inavyokua Eg 3g or 4g Katika Matumizi ndivyo Data Inavyomegwa.

Sina Maana ya Kutengua Kauli Yako Ila Kukumbushana Pia Kama Kuna Hilo.

Samahani Kama Nitakuwa Nje ya Mada.
Pole kwa Tatizo Lililokukuta Mdau.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,607

UNAWEZA UKAWA UMEDISABLE APP ZISIRUN BACKGROUND LAKINI BADO WAKAKUPIGA TU
 
Kite Munganga

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,716
2,000
Yaani tangu kuingia kwa hizi Smartphones na vifurushi basi ndio wamefanya fursa ya upigaji

hamna hata wenye afadhali

Mie jana nimeweka vijisenti vyangu kwa Tigo ili nijiunge kifurushi cha wiki kwa 2000, ile najaribu kujiunga naambiwa pesa yako haitoshi kwani Tsh 654 ? wamekata kulipa deni nililokopa wakati sijawahi kopa hata mara moja
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,607
2,000
Mie jana nimeweka vijisenti vyangu kwa Tigo ili nijiunge kifurushi cha wiki kwa 2000, ile najaribu kujiunga naambiwa pesa yako haitoshi kwani Tsh 654 ? wamekata kulipa deni nililokopa wakati sijawahi kopa hata mara moja
Wezi sana hawa jamaa
 
Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,901
2,000
Kila la heri mkuu japo tambua unapambana na mwenye kifua kukuzidi.. usije ukajeuziwa kibao na gharama za kesi..

Bora uombe tukuchangie hiyo bundle
 
simon2016

Member
Oct 19, 2020
95
150
jamani voda ni wezi mie nilisha pigwa sana na nilikua natumia laini mbili za voda, nimeacha bndo zao

hawana huruma niko zangu halotel nasogeza maisha.
 
kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
4,675
2,000
Voda ndo zao kuna siku week hii hii niliamisha laini yng ya voda kwny cmu ilikuwa Ina mb512 ile kuwasha data nikambiwa salio limeisha nikaamua nipotezee tu
 
mijikamimi

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
1,028
2,000
wapeleke Mahakaman mkuu kwanza neno inatenti maana yake nini.. Hongera! Umepata dk 100 kupiga simu mitandao yote, MB1024 za kufurahia inatentiSMS 100 kwa saa24.Piga *149*60# kujua salio.
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,068
2,000
Utakuwa umenunua kifurushi cha lisaa, Umeingia menyu ipi kwenye option ipi? Kuna kifurushi cha lisaa na cha masaa kadhaa na cha masaa 24.

Vodacom Tanzania Njooni fasta kabla hamjasota rumande.
 
Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
1,643
2,000
Wakati mwingine, ni kifurushi cha zamani ndio kinaisha. Na wewe ulishanunua kifurushi kipya. Ndio meseji ya hivyo inakuja. Lakini MB zako mpya bado ziko palepale. Bofya *150*60# kuangalia salio la ukweli la bando.
 
Ngai Moko

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
869
1,000
Mwanamke akizingua piga chini, tafuta mwingine, na huyo mwingine akizingua tena piga chini tafuta mwingine tena, nae akizingua piga chini tafuta mwingine tena na tena, lengo ni kutafuta furaha na salama kwenye maisha na ipo siku utajikuta TTCL
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,607
2,000
Wakati mwingine, ni kifurushi cha zamani ndio kinaisha. Na wewe ulishanunua kifurushi kipya. Ndio meseji ya hivyo inakuja. Lakini MB zako mpya bado ziko palepale. Bofya *150*60# kuangalia salio la ukweli la bando.
Sasa mkuu *150*60# mbona ni menyu ya airtel money na yeye yupo voda?
Hizi USSD codes zi ni tofauti kwa kila mtandao? Labda ile ya *102# ambayo ni kwa mitandao yote kucheki salio kawaida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom