Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,043
- 788
mkuu labda kama sina info za kutosha, nadhani hvo vifurshi vingine havina deadline, hicho cha 17200 si kwa mwezi....ni kama ukiweka salio kwenye simu, laweza kaa zaidi ya mwezi na lisiondoke,...so ni ngumu kulinganisha vitu viwili vyenye background tofauti.....
Mbona ni akili ya kitoto sana inayo hitajika kufikiria kwa hapa...
.
Yaani mi nijiunge kwa mwezi 9999 nipate 1gb sms 2000 na dakika 300
.
Alafu wew ujiunge bundle tu la mwezi 1gb kwa 17200
.
Nani kafaidika
.