kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,164
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik *149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa Lao???
.
WAkati sizani kama kuna mtu anaeweza kumaliza sms 1000 kwa siku moja????
.
Au kuna addicted kama hawa?????

Acha kupotosha watu airtel ndio baba lao ina bando ya 499 MB125 SmS300 na dakika15 wee unaweka ya 1000
 
Acha kupotosha watu airtel ndio baba lao ina bando ya 499 MB125 SmS300 na dakika15 wee unaweka ya 1000

.
.
Nilichokiangalia ni dakika 40
.
Sasa wewe kuna ya 499
ni 100MB dakika 25 na SMS 250 na ni airtel to airtel sasa voda dakika 40 hebu jiulize??,
.
.
 
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik *149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa Lao???
.
WAkati sizani kama kuna mtu anaeweza kumaliza sms 1000 kwa siku moja????
.
Au kuna addicted kama hawa?????
.
.

ha ha ha!maafsa masoko mmehamia humu ee?enyway airtel Bingwa!
 
.
.
Nilichokiangalia ni dakika 40
.
Sasa wewe kuna ya 499
ni 100MB dakika 25 na SMS 250 na ni airtel to airtel sasa voda dakika 40 hebu jiulize??,
.
.

Aaaah hapo sawa mkuu!
 
Usisahau kuwa ni Dakika 40 Voda kwenda Voda, wakati Airtel ni kwenda Mitandao Yote, Mi naipenda Yatosha wiki 5999 Dakika 200, SMS 5000, 2GB wiki nzima

.
Si unajua mitandao yetu kama
vifaranga hivi
.
We utaona muda sio mrefu wataiga
na tena watazidishaa
.
.
 
.
.
Nilichokiangalia ni dakika 40
.
Sasa wewe kuna ya 499
ni 100MB dakika 25 na SMS 250 na ni airtel to airtel sasa voda dakika 40 hebu jiulize??,
.
.

acha kupotosha,hiyo ni mitandao yote,airtel to others.
 
wakati niko shule nilikuwa natuma sms hata mia tatu kwa siku. ila siku izi natumia sana internet kuliko sms na kupiga. Hii mitandao offer zao haziko fair. wanalazimisha kukupa sms dakika na mb. mfano voda kifurushi cha mb mia bei yake ni sawa na cheka bombastick yenye mb mia dakika na sms thats not fair
 
Mambo yote ni ile ya 9999 kwa mwezi, kwenda mitandao yote dk300, sms 2000 na 1Gb airtel yatosha ndo kilakitu
 
Naipenda airtel ,naitumia kwa simu,lakin voda ni zaid, sababu wana option yakununua bandle kwa simu nyingine,hivyo nimejikuta kwenye ipad ,lazima nitumie voda.

Airtel si wabunifu ,wameshindwa kujua umuhim wa kuweka hyo option.
 
We unaizungumzia offer ambayo inaisha kesho? 500 dk40 ni kweli halafu unapewa 50secs kupiga mitandao tofauti? Ni ujinga wanatuletea hawa kenge maji.
 
Naipenda airtel ,naitumia kwa simu,lakin voda ni zaid, sababu wana option yakununua bandle kwa simu nyingine,hivyo nimejikuta kwenye ipad ,lazima nitumie voda.

Airtel si wabunifu ,wameshindwa kujua umuhim wa kuweka hyo option.

.
Wameisha copy na ku pest hiyo option tayali wameiweka
sasa unaweza ku mnunulia mwenzako kifurushi.....
.
Ukipiga tu *149*99# utaikuta
.
.
 
Back
Top Bottom