JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Hiyo Option mbona ipo mkuu, tazama fresh.. wameiweka juzi juzi tuNaipenda airtel ,naitumia kwa simu,lakin voda ni zaid, sababu wana option yakununua bandle kwa simu nyingine,hivyo nimejikuta kwenye ipad ,lazima nitumie voda.
Airtel si wabunifu ,wameshindwa kujua umuhim wa kuweka hyo option.