kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

kwa hali hii nani BABA lAO?? *149*01# vs *149*99#

.
Hapo ndipo akili za mitando yetu
.
Zilivyo finyu
.
Yani unapata dakika 300
.
Alafu sms 2000 wakati kifurushi cha 999 unapata sms 1000
.
Na 1gb juu alafu wanatuwekea tena eti 1gb kwa 17200 bila sms bila dakika......
.
Sasa kuna mtu atakae jiunga na hiyo 1gb kwa 17200 kweli????
.
.

badili system ya uandikaji unatuchosha kazi kuruka ruka mistari utafikiri mtoto wa darasa la kwanza
 
Eti viongozi
.
Vodacom cheka bombastik *149*01#
.
Dakika 40 SmS 250 na 100MB
.
Kwa tsh 500
.
Alafu Airtel *149*99#
.
Dakika 40, SmS 1000, na 300MB
.
Kwa tsh 999
.
Sasa nani BaBa Lao???
.
WAkati sizani kama kuna mtu anaeweza kumaliza sms 1000 kwa siku moja????
.
Au kuna addicted kama hawa?????
.
.
Wote wezi tu. Tumebaki kutumikia simu watoto wanalala njaa!!!!
 
badili system ya uandikaji unatuchosha kazi kuruka ruka mistari utafikiri mtoto wa darasa la kwanza

<?Niwe
.
Na
.
Andikaje
.
Kiongozi?>
.
.
 
Mambo yote ni ile ya 9999 kwa mwezi, kwenda mitandao yote dk300, sms 2000 na 1Gb airtel yatosha ndo kilakitu

mkuu hapo ndipo ninapowakubali kuwa ni baba yao,........ mie siku hizi voda na tigo siweki vocha.... inemebaki airtel ya mwezi kwisha kazi
 
Voda kwa voda dk40 na sec45 mitandao yote plus mb100
Airtel kwa mitandao yote dk40 plus mb300
Japo Airtel ni sh999 na voda ni sh500 lakini Voda watasubiri sana kwa Airtel,
AIRTEL YATOSHA
 
Airtel pia wana option ya kununua bandle kwa simu nyingine, yaani airtel ndio mpango mzima
 
baba lao ni zantel wengine wanaiga iga tu.

sh 800 unapata dakika 40 za mitandao yote, mb500 na sms 500 na mms 100

hvi chief-mkwawa ,speed yao ya internet ikoje hawa nataka nihamie mtandao wao sema nasita..

unajua watu weng tunalazmika kutumia voda kwasababu ya speed nzur ya net..
 
Last edited by a moderator:
hvi chief-mkwawa ,speed yao ya internet ikoje hawa nataka nihamie mtandao wao sema nasita..

unajua watu weng tunalazmika kutumia voda kwasababu ya speed nzur ya net..

Kama unataka kununua modem yao ya CDMA na wewe ni heavy downloader ujue imekula kwako maana download speed hata kwa dawa haifiki 200KB/s yaani maximum ni 150KB/s labda kwa kusurf speed iko murua

Ila pia 3G ya line za GSM wako poa sana hiyo unawezafika 700kB/s-2MB/s mm ndo natumia hii ningekuwa kwenye pc ningekuwekea picha...na streAm video bomba tu
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Airtel yatosha bwana, usiku naona wanaacha unapata internet ya buuuuuure kabsaaa. Good job!!!


Stuck on you airtel.
 
YATOSHA................................:A S crown-1:
 
.
.
Nilichokiangalia ni dakika 40
.
Sasa wewe kuna ya 499
ni 100MB dakika 25 na SMS 250 na ni airtel to airtel sasa voda dakika 40 hebu jiulize??,
.
.

Hizo dakika 40 za Voda ni mitandao yote? Mbona unafananisha vitu visivyofanana? Kwani hujui kama Airtel kuna bundle ya Sh 499, ya dkk 15 kwenda mitandao yote?
 
Naipenda airtel ,naitumia kwa simu,lakin voda ni zaid, sababu wana option yakununua bandle kwa simu nyingine,hivyo nimejikuta kwenye ipad ,lazima nitumie voda.


Airtel si wabunifu ,wameshindwa kujua umuhim wa kuweka hyo option.

Last time i checked ilikuwepo, angalia tena mkuu...
 
Back
Top Bottom