Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

Chanzo Cha kifo Cha Massawe ni kipi??.

Kwa staili hii, Mke wa Massawe anahusika Kwa namna Fulani

Massawe asizikwe, Mwili wake uchunguzi !!.
MKE.jpg

Inasikitisha sana ,Massawe huenda alipigwa na dawa za kuua taratibu na huyu ZIMWI.
 
1. Mke anatashindwa kuleta vi ben ten nyumbani.
2. Mke atashindwa kuuza nyumba akatanue na vi Ben Ten

Wooooooooow halaf kama chotara fulani hivi kwa mbali
Nimeelewa kwan hataki kaburi liwe mbele ya nyumba sasa 🙂

Bado damu inachemka huyo ,kaburi likiwa ndani litamuharibia mambo yake! Sababu alizotoa ya kutaka kuuza itakuwa ngumu ndipo alipokosea atleast angesema nikitaka kupangisha nipate kodi kwa ajili ya kipato cha kulisha familia angeeleweka au kaburi likiwa ndani atakuwa anapata miweweseko kila akiliona.
 
Mimi hata akisema anauza sioni ttz maana ni mali yake na mme wake
 
Back
Top Bottom