mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 544
- 1,877
Hizi ndio aina za wadada ambazo ni ngumu sana kuolewa, huwa wanachezewa tu na wahuni ,kisha wahuni wanaenda kuoa chombo safi mikoani.
Na wengi wao ni single mothers. Na ukiwaoa jua umeyakanyaga in short umejitafutia kukwama.
Wadada wanaovuta shisha.
Wadada wanaovaa vikuku miguuni.
Wadada wenye heleni puani hadi kitovuni.
Wadada wanaoweka nywele blichi.
Wadada omba omba /Kausha Damu.
Wadada wanaofanya sex workers /FSW kwenye madanguro.
Wadada wenye Tattoo.
Wadada walevi kupita kiasi.
Wadada wanaopenda kwenda clubs.
Nyingine ila sio kwa umuhimu wale mabinti waliojivika majukumu ya familia yao nzima na kutaka kuonekana wakombozi wa ukoo mwisho wa siku msela unalundikiwa zigo la majukumu na stress za kujitakia ili kuiweka familia ya binti sawa.