Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Huyo Vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu CV yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo Musoma Mjini inaonekana hana nidhamu.
U r missing something...kwani Katiba inataka mtu mwenye sifa gani agombee ubunge? Sifa kuu ni awe Mtz, ajue kusoma na kuandika na asiwe ameshtakiwa kwa makosa yaliyoainishwa. Aliyewaambia Ubunge ni usomi nani? mbona kuna Maprof na maDr. bungeni wamefanya nini kama si utumbo? Lukuvi ni Std VII lkn leo ni Waziri! Hekima na busara ndio vitu muhimu maishani. Vicent Nyerere hakwenda shule kama wengine, but is much better of than others!