Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Kama mtu hawezi kutofautisha HEKIMA NA ELIMU huyo ni zumbukuku.
Wasomi wengi wameharibu taasisi kwa kujidai wakifukuzwa wataenda pengine, lakini hawa wasomi wa kadri huwa na hekima na heshima ya kuogopa na kutenda yaliyo meme.
Angalia mfalme SULEIMAN hakuwa na darasa lakini hekima yake iliongoza watu wake.
Tafakari, Vicent Kiboko Nyerere songa mbele haya magamba yamekula pesa kwenye ufunguzi sasa yameumbuka.
Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Kama katiba imeruhusu hizi kelele zote ni za nini..? Mods wekeni king'amuzi humu tuwe tunalipia.. inawezekana ujinga ukapungua kwa kiasi kikubwa.. zikaletwa posts chache ambazo ni constructive ili tuchangie..
 
Yalimsibu yepi tena Muheshmiwa jamani,mbona amebadilisha shule za Primary nyingi hivyo?
Jamaa danganya toto. hata hiyo shule aliyoiita Mwere sio ni Mwembeni. Nikuchekeshe kama una mbavu: Shule zote hizo tatu zimefuatana kama tarakimu 1,2,3. Inaanza Mkendo, hatua tatu ipo Iringo hatua tano ipo Mwere(Mwembeni) ukitoka alipokuwa anaishi na wazazi(mama) mpaka shuleni ni meta 800. Je, kilichomfanya ahame toka shule moja kwenda ingine ni nini? Elimu ya maisha anayo. Mji wa musoma ni mji wa wajanjawajanja hivi wasiopenda kazi ndio maana wenyeji wengi wa mji huo wanaojituma wanaogopa kuwekeza mjini hapo biashara hazitalipa.wanawekeza dsm,arusha ama mza.Viongozi 99% ya council ya manispaa ya musoma ni form four div 4. tena ya 28-33. mbunge nae ana four ya d 2.
 
Elimu inapatikana kwa njia nyingi sana, formal au informal education system. Formal ndo unaenda darasani unapata elimu na vyeti vingi tu ambavyo unaweza ukavitumia kwa manufaa yako binafsi na ya jamii inayokuzunguka.Kuna ndugu zetu wengi sana ambao tunaona wamepata Elimu formal kasoma mpk akakaribia kukuta kibao kimeandikwa no education please go back, ila hakuna cha maana chochote ambacho wametufanyia sisi kama Watanzania. Kupata Elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti.Kuna watu ambao hawajapiga shule sana, au in other words formal education hawajaipata sana lakini tunaona kuwa adui ujinga amewapita pembeni, wananitumia elimu yao ndogo kwa maslahi ya wote.From the foregoing, Vincent inaonyesha kuwa Elimu yake ni ya kawaida, lakini jiulize, yeye mwenye Elimu ndogo na anatetea maslahi ya umma na hao wenye elimu kubwa with distinctions ambao hawajafanya cha maana kipi bora?besides, huyo Mkapa mwenyewe amemchokonoa huyo Vincent kwa siasa zake za bullying, unamwaga unga na ww mboga inamwagwa...yeye kuwa mtoto wa Julius Nyerere au kutokua inahusiana nini na yeye kupiga kampeni?it is bullshit...pointless, alete hoja za msingi, tumechoka kunyanyaswa na kudhulumiwa haki zetu. Tanzania ya sasa na ya enzi za Mwalimu ni vitu viwili tofauti...
 
Mimi siyo mtaalam wa Lugha, hivi mlinzi wa getini anaweza kuitwa Security Officer?

Kama hujui lugha onesha picha au ishara mkuu. But the good way ya kupima utaalam wa mtu ni kwa kutumia lugha na kama wewe huwezi lugha basi huna kitu. Kwenye lugha ndo kunaweza kupatikana kipengele cha LOGIC. Na ndo maana interview za profession zote zinafanyika kwa lugha sehemu kubwa.
 
Kwa hiyo wewe ni shabiki wa viongozi wasio na elimu? kama wapo CCM ungependa na chadema wawepo?

Elimu gani ni hi ya hapa Tz ambapo mitihani huuzwa na kununuliwa kama njugu. Ni bora mtu makini kususia hovyo wa elimu kama huu wenye matundu ya kupitisha hata mambumbu.
 
Mkapa na mashahada yake kaishia kuwa mwizi mkubwa wa mali ya umma ! ndio maana nasema kufungamana na ccm ni ishara ya ujinga na upofu

Hivi anayoyafanya Vincent na madiwani wenzake kule Musoma unayajua??? Jaribu kuulizia ndugu
 
Bwana hata ubunge mi naona waweke degree tu kama vipi
urais uwe masters ili kuikarage watu wasome
 
Kama elimu ni hii ya kiTanzania (vodafasta) ni bora kutosoma kabisa na ukaendelea na hekima uliyozaliwa nayo.
 
Kama katiba imeruhusu hizi kelele zote ni za nini..? Mods wekeni king'amuzi humu tuwe tunalipia.. inawezekana ujinga ukapungua kwa kiasi kikubwa.. zikaletwa posts chache ambazo ni constructive ili tuchangie..
Airtel walitaka kutupunguzia huu usumbufu baada ya kupandisha gharama za Internet bundle lakini zilizuka kelele humu mpaka wamerudisha bei ile ile ya makabwela, lakini bila wajinga usidhani kama Great Thinker anaweza kujulikana ni nani!!
Kwahiyo kwa ushauri wangu hawa wajinga wajinga ni sehemu muhimu sana hapa JF ili werevu wajulikane.
 
Elimu inapatikana kwa njia nyingi sana, formal au informal education system. Formal ndo unaenda darasani unapata elimu na vyeti vingi tu ambavyo unaweza ukavitumia kwa manufaa yako binafsi na ya jamii inayokuzunguka.Kuna ndugu zetu wengi sana ambao tunaona wamepata Elimu formal kasoma mpk akakaribia kukuta kibao kimeandikwa no education please go back, ila hakuna cha maana chochote ambacho wametufanyia sisi kama Watanzania. Kupata Elimu na kuelimika ni vitu viwili tofauti.Kuna watu ambao hawajapiga shule sana, au in other words formal education hawajaipata sana lakini tunaona kuwa adui ujinga amewapita pembeni, wananitumia elimu yao ndogo kwa maslahi ya wote.From the foregoing, Vincent inaonyesha kuwa Elimu yake ni ya kawaida, lakini jiulize, yeye mwenye Elimu ndogo na anatetea maslahi ya umma na hao wenye elimu kubwa with distinctions ambao hawajafanya cha maana kipi bora?besides, huyo Mkapa mwenyewe amemchokonoa huyo Vincent kwa siasa zake za bullying, unamwaga unga na ww mboga inamwagwa...yeye kuwa mtoto wa Julius Nyerere au kutokua inahusiana nini na yeye kupiga kampeni?it is bullshit...pointless, alete hoja za msingi, tumechoka kunyanyaswa na kudhulumiwa haki zetu. Tanzania ya sasa na ya enzi za Mwalimu ni vitu viwili tofauti...
 
Wang'ayo hebu tuwekee CV ya Mbunge wa Korogwe vijijini Ngonyani aka Prof Maji Marefu. Siasa ni kitu kingine baba
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Salutation[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Member picture
1738.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]First Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Stephen[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Middle Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Hilary[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Last Name:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Ngonyani[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Constituent:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Korogwe Vijijini[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Political Party:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Location:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]P.O. Box 60, Korogwe, Tanga[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Phone:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]+255 784 459090/
[COLOR=#49535A !important] +255 712 006666 [/COLOR]​
[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Ext.:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office Fax:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Office E-mail:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Member Status:[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #CCFFFF"]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Date of Birth[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"]EDUCATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 35%, bgcolor: #B4C6DB"]School Name/Location[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"]Course/Degree/Award[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Start Date[/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]End Date[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Level[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Kwamndolwa Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1970[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1976[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]CERTIFICATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Certification Name or Type[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Certification No.[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Issued[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Expires[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]EMPLOYMENT HISTORY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB"]Company Name[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Position[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]From Date[/TD]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]POLITICAL EXPERIENCE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: #B4C6DB"]Ministry/Political Party/Location[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]Position[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]From[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"]To[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Member of NEC[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Regional Economic Secretary[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2008[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Economic Secretary, Korogwe rural[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2007[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 2"]PUBLICATIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Description[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Published Date[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 4"]SPECIAL SKILLS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB"]Skill Name or Description[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Years Experience[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Acquired Through[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Skill Level[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[TD="bgcolor: #EDEEEE"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"]RECOGNITIONS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Recognition Type[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Recognition Date[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Reason[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Action Taken[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #B4C6DB"]Issued by[/TD]
[/TR]
[TR="class: detail"]
[TD="colspan: 7"]No items on list[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kudadeki.....Vicent kawashika pabaya magamba, Leteni hoja zenye mashiko tujadili sio huu ******. Kama katiba inamruhusu na anaungwa mkono na wapiga kura wake kuna lipi baya hapo...mbona mbunge wa msoma aliyepigwa chini na vicent ni std 7 na hamkuwahi kuhoji????? Zee zima linapanda jukwanii na kutukana ovyo (anatumia viroba!!!!!)...Umbua hao magamba wezi..:A S 13::A S 13::A S 13:
 
kwa hiyo ulikua unataka asome sana halafu awaibie kama ben? jaribu kufuatilia ukoo wa nyerere kama wamesoma sana kama unavyofikiri halafu lete jibu. na mfano ni jk nyerere mwenyewe ni mwalimu elimu yake ni A level 2. sasa mwanae akiwa na O level kuna tatizo gani? unataka wote tujiite madkt kama walivyojipachika wakina mkwele na wenzake...............? acha ulimbukeni wa elimu.
 
Back
Top Bottom